Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu Tuchel ni balaa. Ni mwalimu anaejua kufanya Sub. Baada ya kuona anaongoza. Sasa anamtoa Kovacic ili akapumzike kwa ajali ya game ijayo na Utd. Na anamtupia mkata umeme nguli Kante kuja kuuwa kabisa kiungo cha ATM.

Anamtoa Callum Hudson Odoi na ambae huyu ni mzuri ktk kushambulia sn ila kukaba bado hayuko vzr na anamuingiza James ambae ni mzuri kukaba na kushambulia pia na kufanya Back line ya mabeki kua imara.

Anamtoa Meson Mount, na kumtupia Zyench, anamtoa Timo na kumtupia Pulisc na anamtoa Giroud na kumtupia Kai. Yani kwa hizi sub za nguvu hivi na za ufundi Chelsea ina squad kubwa sn na yenye ubora.

Kumbuka hapo Thiago Silver hakuwepo, Chiwell, Zuma, Kepa Alizabaraga. Na dogo mtukutu Billy Gilmour.

Man Utd j2 mjipange sn
 
Ni muda muafaka sasa Tuchel amjaribu Ben Chilwell kwenye LB badala ya kumng'ang'ania Alonso hata kama hachezi vizuri. Alonso ni mmoja wa wachezaji waliocheza vibaya mechi na Southamptom wakiwemo Zouma, Tammy na Mendy. Pia Azpi, Rudiger, Kovacic, Odoi na Werner walicheza kawaida mno. Aliyecheza vizuri sana ni Mason Mount akifuatiwa na Kante pamoja na Reece James
Ben kwa maoni yangu muache akalie benchi kwa sasa maana Alonso ni mzuri sn kuliko Ben

Na kwa mfumo wa Tuchel anaoutumia Ben hana uzoefu nao sn hivo ni bora Tuchel akaendelea kiwatumia kina Alonso, Rudiger, Azpi na Christiansen maana hawa hii system wana uzoefu nayo sn

Jambo jingine wachezaji wa Chelsea wote km game yao na Soton wote walifanya uzembe hasa ktk pasi za mwisho na kufunga hilo ndio swala ambalo Tuchel anatakiwa kulifanyia kz sn na ndio sbbu unaona ktk game na hawa ATM kamuweka Oliver Giroud sbbu huyu Giroud ni mzuri sn ktk pasi mpenyo na ana uwezo wa mkubwa wa kukaa na mipira na kutengeneza Set pieces kuliko Tammy Abraham. Na km umeona vzr hiyo game na ATM, Mount na Timo walikia pembeni ya Giroud wakisubili hizo pasi mpenyo na kina move kadhaa walifanya zilikua so brilliant yani hichi ndio Tuchel alichobaki.

Maana ktk mabeki tayaria hana shida na ktk viungo hana shida. Sasa ni wakati wa kufanya kz huko mbele ktk umaliziaji.
 
Sahihi

Ata hivo anachofanya Tuchel ni kuwaleta wachezaji wote kua pamoja na kua na umoja na kutoa minong'ono ndani ya timu na makundi. Maana Lampard alikuata amewagawa wachezaji. Mfano hawa kina Alonso na Rudiger Azpilicueta, Lampard alikua hawataki lkn huyu Tuchel kawaleta wote pamoja na wote anawapa nafasi kucheza yaani hadi Bily Gilmour anapewa nafasi hadi Kepa.

Hivi ndio timu inatakiwa kuletwa pamoja. Ktk game ya na Utd naamini Ben ataanza maana hakuna approach yoyote ile UTD atakayokuja nayo zaidi ya Utd kupaki basi na kutegemea mipira mirefu na counter attack huku akitegema uwezo wa wachezaji wake ktk kukimbia km kina Marcus Rash na James.

Sasa Alonso ni mzito hana mbio sn na amecheza mfululizo hivo anahitaji kuanzia bench au aanze then atolewe aingie Ben.
 
Oliver Giroud
IMG_20210224_083226.jpg
 
Chelsea sisi wa kutusumbua may be City au Bayern. Basiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom