Ni kweli lkn kwa ATM na Diego Simeon ni kocha wa Hovyo sn watakuja Darajani wakiwa moto sn yaani watatusumbua sn. Huo mchezo utakua ni mgumu sn kuliko huu wa kwanza ulio pita.
ATM watakuja na team work moja. Watashambulia kwa nguvu wote kwa pamoja na kukaba wote kwa nguvu kwa pamoja na watajitahidi sn wao kumiliki mpira yaani waizidi Chelsea possession.
Hiyo game Tuchel hatomuanzisha Odoi ktk upande wa Wingback ya kulia tunahitaji kua na defender kweli huo upande kwahiyo James atafaa zaidi maana km atawekwa Odoi yeye sio mzuri ktk kukaba hivo ATM huo upande watautumia sn.
Vile vile wanaweza kuja kutumia udhaifu wa mbio wa Alonso maana Alonso hana kasi ktk kukikmbia kwahiyo huo upande nao watautumia sn.
Tutegemee kuona mchezo mgumu sn uliojaa mbinu na ushindani ingawa mpk sasa Tuchel ameonyesha uwezo mkubwa wa mbinu kuliko Diego. Maana aliiwazidi ATM kila kitu. Hebu imagine DK 90, ATM hawakua na shoot ata moja on Target. Hii ni mbaya sn kwa Cholo.