Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mzee wa kusikia harufu za ubingwa VP sahv umepata mafua nn
Vibonde wote mushakata tamaa ya ubingwa, mumebaki kuiombea ubingwa City, afadhali mimi kidogo bado naendelea kujipa moyo wenda nitamkamata.

Naona ile fungate yenu na Tuchel ishafika mwisho.
 
Hao atletico sio big deal kihiiivyo kama unavyosema! Atletico tunawapga vizuri tu. Chelsea sio timu ya kufungika fungika kirahis. Chelsea ya sahiv ni moja ya timu ngumu sana kucheza nayo. ina mapungufu kiduchu sana. tena kwnye umaliziaji, kocha bado hajapata wachazaji sahihi ndio mana mpaka Abraham anapata nafasi y kuruka ruka tu uwanjani.
Uko Sawa mkuu shida yetu ni umaliziaji Tu....that goal was inevitable and we were unlucky to concede
 
Vibonde wote mushakata tamaa ya ubingwa, mumebaki kuiombea ubingwa City, afadhali mimi kidogo bado naendelea kujipa moyo wenda nitamkamata.

Naona ile fungate yenu na Tuchel ishafika mwisho.
Kk VP Kwan tumefungwa....kesho nna uhakika kina Maguire watasaidia kufanya gap ibaki 3 hvyohvyo
 
Kesho unazikwa mzima mzima
Dear Tuchel
Honeymoon is over

Next 6 Games

Atletico (A)......
Man Utd (H).
Liverpool (A).
Everton (H).
Leeds (A).
Atletico (H). Then out of champions league
 
Kapigwa 2-0 Hiyo mechi nimeiangalia, bahati mbaya Levante hawachezi hivyo mechi zote wangekuwa wao ndio mabingwa
Atl Masrid ulendio uchezaji wao. Ukijisahau kidogo unapigwa. Nashangaa watu humu wana waunderestimate utafikiri ni Luton Town. Hawa siyo ambao mpaka kina Batman na Morata waliwafunga.
 
Chelsea mtu mwenye bahati ya kuscore ni Giroud, naona kocha bado hajajua kama Giroud ndiyo talisman wa Chelsea.
Hata Lampard alikua hafahamu hilo, Giroud anabidi kuanza au kuwa Sub.
 
REPOSTED

Mashabiki wenzangu wa THE BLUES bado tuna mlima mrefu sana kumaliza TOP 4 kutokana na changamoto inayotukabili kwa sasa ya uchache wa ufungaji wa magoli.

Nadhani kwa sasa katika jambo linamuumiza kichwa kocha wetu TT ni jinsi gani atawaboresha wafungaji wetu wafunge magoli mengi.

1. Abraham - 6
2. Werner - 4
3. Mount - 3
4. Giroud - 2
5. Odoi - 3
6. Ziyech - 1
7. Harvetz - 1
8. Pulisic - 1

Tunahitaji wafungaji wetu waanze kufunga magoli mengi zaidi kule mbele atleast timu iwe na asilimia kubwa ya kushinda mechi.

Hivi vigoli vimoja vimoja vya Azipu, Jognho (Penati) na Alonso yawe magoli ya nyongeza, kuna siku vitakosekana tuanze kutafutana hapa.

Binafsi naona tuna hali mbaya sana kiufungaji, bado hatuwezi kujigamba tunaweza kutamaliza TOP 4 wakati wafungaji wetu wanakata viuno kule mbele.

Werner, Giroud, Ziyech, Odoi, Pulisic, Abraham waamke usingizini tunahitaji mabao na sio kula mshahara bure.
Chelsea ni aina nyingine ya utakatishaji fedha
 
Zouma - OUT
Giroud - OUT
Abraham - OUT
Harvetz - OUT
Keppa - OUT
Emerson - OUT
Barkley - OUT
LFC - OUT
Batshuayi - OUT
Bakayoko - OUT
Drink water - OUT
Tomori - OUT
Washabiki wa Chelsea tuna tabu sana matumiz ya pesa ya hovyo timu yetu inaongoza akiuza wote hao ili waje hao watu bado una watu wataonekana useless tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom