Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Atarudi kule kule kwa Lampard, rigidity. Amchezeshe na mfumo wake huo. Kwani mazoezini wanafanya kwa mfumo gani?Kupata matumizi mazuri ya Chillwell ni lazima abadili mfumo kutoka 3-4-3 kuja 4-3-3 kwa nionavyo mimi naona Tuchel hawezi kuuacha huu mfumo wake wa 3-4-3 ambao unamuAccomodate zaidi Alonso kwasababu ndio umempa matokeo toka amefika.