Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu Estevao Willian ana uchezaji kama Neymar. Huyu dogo ni kipaji hasa na tutegemee makubwa zaidi kwake. Tumempata Willian mwingine ila aliye bora zaidi
 
NI BLUU

🔵 Kijana wa Brazil Estevão Willian ni mchezaji mpya wa Chelsea FC.

💰 Palmeiras itapokea zaidi ya Euro milioni 60 kwa kipengele cha mdororo wa uchumi.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 atajiunga na timu katikati ya 2025.

KITO 💎

View attachment 2992975
Nadhani baadhi ya mashabiki wa Chelsea hawaelewi kwa hakika ukubwa wa usajili huu au kiwango cha juu cha Estevão.

Huenda ni kutokana na wao kusaini chipukizi mpya kila baada ya dakika 5, lakini niamini...huu usajili ni tofauti.
1716048567555.png
 
Hatuwezi kubadilisha kocha wa madem kuja kufundisha timu ya mameni maana kaonyesha umwamba sana kwenye soka la wanawake kushinda makombe ya ligi mara tano mfululizo sio jambo la kitoto
 
Sio katikati ya 2025 atajiunga January 2025
Amezaliwa tarehe 24 April 2007, January bado atakuwa na miaka 17. Hataruhusiwa kuingia Uingereza kucheza labda kama kutalii tu chini ya uangalizi wa wazazi au walezi

Tarehe 1 January atakuwa na umri wa miaka 17, miezi 8 na siku 8
Tarehe 24 April 2025 ndio anafikisha miaka 18
 
Nina furaha sana Fran Kirby alifunga bao lake la mwisho kwa beji ya #Chalsea. LEGEND!
Chelsea 6
Man U 0

Ubingwa tumepewa Old Traford
Ubingwa wa mara tano mfululizo

Hayes kashinda mataji 15 katika miaka 12 aliyofundisha Chelsea
LEGEND

1716051573250.png

1716051738601.png
 
Amezaliwa tarehe 24 April 2007, January bado atakuwa na miaka 17. Hataruhusiwa kuingia Uingereza kucheza labda kama kutalii tu chini ya uangalizi wa wazazi au walezi

Tarehe 1 January atakuwa na umri wa miaka 17, miezi 8 na siku 8
Tarehe 24 April 2025 ndio anafikisha miaka 18
Unayo point. Ila mimi nilisoma hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20240518_202611_Instagram.jpg
    Screenshot_20240518_202611_Instagram.jpg
    371 KB · Views: 7
Sioni dalili zs poch kufukuzwa
Ila akirudia alichokifanya msimu huu hatasamehewa msimu ujao, ameivuruga timu mwanzoni sana. Alilazimisha mbinu ambazo hazifanyi kazi
Mimi nakuapia wachezaji wote wakirudi fit msimu ujao utaona atang'ang'ania combination za wachezaji ambazo hazifanyi kazi. Tusubiri tuone
 
Chilwell left wing😂
 
Ebu ona hawa westham walivyo hawana aibu, wako tayari kubigizwa 6 nunge na city ili tu Declan Rice alizwe
1716062076381.png
 
Hili chama letu Lina makinda wa kutosha Sasa ni wakati wa kucheki mafaza hata wawili watatu ili kuleta ushindani kwenye kikosi. Kuwa na ma kid tu sometime wanaeza zingua lakini wakiweno mafaza hapoa kati mfano wa madirid Wana Kroos na yule mkoreshya hapo kiungo inakuwa stable. Msimu ujao ukimwacha Silva basi kuwe na mafaza hata wengine wawili wazoefu ili kuweka kikosi sawa.

Au munasemaje wakulungwa😀😀😀🖐️
Leo umeongea point kubwa sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom