blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,082
- 5,452
CHELSEA 2-1 TOTTENHAM HOTSPUR, Premier League: Post-match reaction.
By Mlanzi
Marcos Alonso na Olivier Giroud watupia na kuipa ushindi Chelsea huku Michael Oliver pamoja na VAR wakitunyonga hazarani kutokana na foul ya Giovani Lo Celso kwa Cesar Azpilicueta.
Nadhani kunatatizo kati ya team yetu na ma Referee wa England. Challenge ya Lo Celso kwa Cesar Azpilicueta ilitakiwa kuwa red card. Najiuliza swali!! Ni kitu gani VAR walikitazama? Na je? Waliona nini? Alafu dakika tano kabla ya mpira kuisha wanatangaza kuwa wamekosea ni kweli ilitakiwa kuwa red card.
Juzi VAR ilizinguwa dhidi ya Manchester United, leo tena VAR imezinguwa! Na kwa nini Michael Oliver hakwenda kuitazama ile pitch side monitor?
Anyway imekuwa muda sana tangia tuone three-man defence katika lineup. Leo tumeiona na ilisimama vilivyo na hii ndo ilikuwa key factor katika ushindi huu wa 2-1 dhidi ya Tottenham.
Kutokana na Tottenham kucheza 3-5-2, nilitegemea kuona equal match but Chelsea ndo iliibuka kidedea katika sehemu kubwa ya mchezo. Na dakika kumi na tano za mwanzo zilimtosha sana Oliver Giroud kuiweka mbele The Blues kwa bao safi lililomtesa goalkeeper wa Tottenham Hotspur Hugo Lloris.
Second half ilianza kwa kasi ile ile na dakika ya 48 left wing-back Marcos Alonso aliipatia Chelsea bao la pili.
Unfortunately hatukufanikiwa kupata clean sheet, kutokana na bao la kujifunga kutoka kwa Antonio Rüdiger dakika za lala salama. Nevertheless, tulifanikiwa kulinda ushindi wetu na kuzibakiza points zote tatu.
Willy Caballero bado yupo langoni tangia achukue number kutoka kwa Kepa Arrizabalaga.
Meanwhile, kulikuwa na changes kadhaa pale upfront hususani katika attacking trio iliyocheza dhidi ya Manchester United ambapo (Willian, Batshuayi, Pedro) hawakuanza na badala yake (Mount, Giroud, Barkley) walichukuwa nafasi.
Loftus-Cheek alikuwepo kwenye bench ikiwa ni ishara njema kumuona siku zijazo.
Olivier Giroud finally amepata bao lake la kwanza katika Premier League stangia mwezi August mwaka jana alipoifungia Chelsea katika UEFA Super Cup match dhidi ya Liverpool (2-2 kwenye extra time, 5-4 tukapoteza kwa penalties).
Subs zetu zilikuwa Tammy Abraham kwa Olivier Giroud, na Willian kwa Ross Barkley.
Next up: tutawakaribisha Bayern Munich pale Stamford Bridge katika Champions League.
KTBFFH!
Sent using Jamii Forums mobile app