Formation ya 3-4-3 na 4-2-3-1 Kante anachezaga defensive MF na uchezaji ni ule ule. Tumekaririshwa tu kuwa Kante hachezi defensive role yake wakati sio kweli. Kwenye 4-3-3 ndio Kante anacheza attacking MF kwa sababu defensive MF ni mmoja tu naye ni Jorgi
Akirudi always atachezeshwa ATTACKING MIDFIELDER ambayo sio nafasi yake.

Otherwise hiyo 4 - 3 -3 wacheze Kovacic, Joginho na Mount, kuliko kumchezesha KANTE 4 -3-3 halafu acheze attacking mildflider nafas ambayo hachezi kwa ubora/comfortable.

Na ukisema kwamba Kante hachezi vizuri kwenye defensive fahamu kwamba ubora wake unashindwa kumatch na anaocheza nao katikati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry, nakubaliana na wewe, Kante sio nzuri mbele Ila kiacheza defensive kwenye 4-3-3 jorgi hautaweza mbele labda akae benchi au ndio yeye auzwe
Umeniqoute vibaya rejea hiyo post yangu hakuna mahali nimetaja 3-4-3 wala 4-2-3-1.

Nimeongelea kwenye mfumo wa 4-3-3 kwamba hakuna haja ya kumchezesha KANTE as an attacking midfielder nafasi ambayo anaonekana anacheza chini ya kiwango.

Kwanini joginho asicheze as an attacking mildflider kwenye 4-3-3? Why Kante?

Kovacic - Kante - Joginho

Matic - Kante - Fabrigas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maoni yangu kwa mechi ya jana Chelsea VS Spurs
Kuna wakati Rudiger hayuko serious, goli la Maguire alifanya blunder, jana tena sikujua alikuwa anadefend nini hata kama ni bahati mbaya mpira ulimbabatiza
Alonso jana alicheza vizuri sana kama Wing-back ila kuna incident kama mbili hivi alirudi kwenye ujinga wake wa kuzubaa mpaka akapitwa na opponent wake
Kule mbele Barkley anajua kuutendea mpira haki japo generally bado Barkley ni mzito na anachoka haraka
Goli la pili wachezaji watatu, Mount, Barkley na Alonso walishirikiana vizuri na lile goli la Alonso ni superb
Katikati nilichogundua Kante hana chemistry nzuri na Jorgin ila Kova anayo
Tukipata pesa ndefu Kante auzwe ili tumlete mtu mwenye chemistry nzuri na timu.
GK Caba kacheza vizuri jana, kaokoa magoli ya wazi kama mbili hivi, ila tu naona goli la OG l;a Rudiger angekuwa fast tu kidogo angeweza kutoa nje ule mpira na kumaitain cleansheet.
Tammy Abraham ile mentality yake ya mwanzo naona imepoa japo mimi binafsi bado namuamini sana Abraham, ni kijana mdogo, career ya mpira bado ni ndefu kwake, ana mambo mengi ya kujifunza kwa wazoefu kama Giroud lakini sio kwa Batsuayi ambaye ni striker mvivu kupata kutokea. Aende tu kwenye ligi ndogo labda huko ataperform
Lampard anashindwa kumpatia kante kutokana na nafasi anayomchezesha.
 
Hakim Ziyech signs five-year Chelsea deal ahead of summer move
"I am delighted and proud to have signed for such a huge club as Chelsea," says Ziyech.
Hakim Ziyech has signed a five-year deal with Chelsea ahead of his move to Stamford Bridge this summer.
 
Yes tunaogopesha, let's go blues View attachment 1367739
Kama tutawazuia hawa Joshua Kimmich, Thos Muller na Coutinho basi game tumeiweza. Nasema hao kwa sababu kama watazuilika kisawsawa basi jua kuwa umeizuia Bayern kufanya mashambulizi ya hatari lakini pia umemzuia Lewandowski kupokea mipira.

Tukumbuke Muller ndio anaongoza kutufunga zaidi kila tunapokutana. Swali, Je ni nani wa kuwazuia?
 
Kikosi cha mwaka 2012 kilichopata ushindi dhidi ya Bayern. Hapo yupo Lampard peke yake ambaye kasimama kama kocha. Wakati kule kwa Bayern waliocheza ile mechi dhidi yetu wamebaki wawili tu ambao ni Muller na Neur.

So it is 1 against 2.
Screenshot_20200224-095349~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfumo wanaocheza Bayern ni 3 - 4 - 2 - 1

Nadhani tuingie na mfumo wa 3 - 4 - 3 twende nao sambamba.

Pulisic - Giroud - Willan

Alonso - Kovacic - Joginho- Azipiculeta

Rudger - Christensen - JamesView attachment 1367824

Sent using Cash Money Wings
Nakuunga mkono asimilia 💯 ila yule Lampard Kuna wakati anakuwa mpuuzi utashangaa ataanza na Abraham, Giroud atamuweka benchi hapo ndo anaponichosha Lampard.
 
Mfumo wanaocheza Bayern ni 3 - 4 - 2 - 1

Nadhani tuingie na mfumo wa 3 - 4 - 3 twende nao sambamba.

Pulisic - Giroud - Willan

Alonso - Kovacic - Joginho- Azipiculeta

Rudger - Christensen - JamesView attachment 1367824
Mkuu game ya kesho mi nadhani hakuna haja ya kujaza watu wengi mbele. Tucheze kwa kukaba zaidi then mbele tucheze na mastiker wawili huku Giroud akicheza chini ya Tammy. Nikiwa na maana Tammy ndio atakabwa zaidi huku muuaji awe Giroud.

Mi nadhani mfumo mzuri wa kuingia nao ni 4-4-2 tunakaba zaidi huku tukishambulia kwa kushtukiza. Tukisema tutawale mchezo hatutaweza wana Thiago na Tolisso ambao ni hatari.

Giroud - Tammy

Mount - Kovacic - Jorginho - Barkley

Alonso - Rudiger - Azpilicueta - James

Kepa/Caba
 
Hii mechi Lampard akipanga kikosi kimahaba tutaangukia pua. Bayern tutawafunga kimbinu zaidi, other factors like uzoefu na quality ya mchezaji mmoja mmoja zije baadae.

Dah kazi ya ukocha ni ngumu aisee hahahah, ila naamini Lampard atakuja na game plan nzuri.
Lakini kuhalisia unadhani atampanga nani na nani kuziba nafasi za Mont na Barkley? Ndio maana nikasema ni aidha mmoja wao au wote wakaanza kikosi cha kwanza.
 
Back
Top Bottom