CHELSEA 2-1 TOTTENHAM HOTSPUR, Premier League: Post-match reaction.

By Mlanzi

Marcos Alonso na Olivier Giroud watupia na kuipa ushindi Chelsea huku Michael Oliver pamoja na VAR wakitunyonga hazarani kutokana na foul ya Giovani Lo Celso kwa Cesar Azpilicueta.

Nadhani kunatatizo kati ya team yetu na ma Referee wa England. Challenge ya Lo Celso kwa Cesar Azpilicueta ilitakiwa kuwa red card. Najiuliza swali!! Ni kitu gani VAR walikitazama? Na je? Waliona nini? Alafu dakika tano kabla ya mpira kuisha wanatangaza kuwa wamekosea ni kweli ilitakiwa kuwa red card.

Juzi VAR ilizinguwa dhidi ya Manchester United, leo tena VAR imezinguwa! Na kwa nini Michael Oliver hakwenda kuitazama ile pitch side monitor?

Anyway imekuwa muda sana tangia tuone three-man defence katika lineup. Leo tumeiona na ilisimama vilivyo na hii ndo ilikuwa key factor katika ushindi huu wa 2-1 dhidi ya Tottenham.

Kutokana na Tottenham kucheza 3-5-2, nilitegemea kuona equal match but Chelsea ndo iliibuka kidedea katika sehemu kubwa ya mchezo. Na dakika kumi na tano za mwanzo zilimtosha sana Oliver Giroud kuiweka mbele The Blues kwa bao safi lililomtesa goalkeeper wa Tottenham Hotspur Hugo Lloris.

Second half ilianza kwa kasi ile ile na dakika ya 48 left wing-back Marcos Alonso aliipatia Chelsea bao la pili.

Unfortunately hatukufanikiwa kupata clean sheet, kutokana na bao la kujifunga kutoka kwa Antonio Rüdiger dakika za lala salama. Nevertheless, tulifanikiwa kulinda ushindi wetu na kuzibakiza points zote tatu.

Willy Caballero bado yupo langoni tangia achukue number kutoka kwa Kepa Arrizabalaga.

Meanwhile, kulikuwa na changes kadhaa pale upfront hususani katika attacking trio iliyocheza dhidi ya Manchester United ambapo (Willian, Batshuayi, Pedro) hawakuanza na badala yake (Mount, Giroud, Barkley) walichukuwa nafasi.

Loftus-Cheek alikuwepo kwenye bench ikiwa ni ishara njema kumuona siku zijazo.

Olivier Giroud finally amepata bao lake la kwanza katika Premier League stangia mwezi August mwaka jana alipoifungia Chelsea katika UEFA Super Cup match dhidi ya Liverpool (2-2 kwenye extra time, 5-4 tukapoteza kwa penalties).

Subs zetu zilikuwa Tammy Abraham kwa Olivier Giroud, na Willian kwa Ross Barkley.

Next up: tutawakaribisha Bayern Munich pale Stamford Bridge katika Champions League.

KTBFFH!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Lampard hajajifunza kwenye mechi ya leo basi atakuwa ana matatizo, game kubwa zinamwitaji Sana Giroud kacheza game mbili kubwa za Liverpool supercup Pamoja na hii ya leo na kafunga ukiangalia game ya leo kapata chance 1 game nzima na kaitumia vizuri.Giroudi ana uwezo wa kutengeneza nafasi, anakaba na kiunganishi kizuri kwenye eneo la ushambuliaji lakini pia ana nguvu ya kupambana na mabeki na ni experience player ni vizuri game ngumu akampa Giroud huyo bwana mdogo Abraham ampe game ndogo.
 
Jose Monrinho on Chelsea VS Spurs
“Look at Chelsea they played a World Cup winning striker up front, England’s second striker on the bench, and Belgium’s second striker in the stands. We had no strikers on the pitch, no strikers on the bench and two in the hospital.”
 
. Willian mwenyew aligoma kwenda barca alikuw anataka mkataba mrefu so amemaind kutopew mkataba mrf cio kutouzwa
Nyie bado hamumjui Willian
Alikuwa anacheza vizuri ili kuvutia mkataba wa miaka mitatu sasa baada ya kukataliwa naona anaonyesha makucha yake. Nahisi Willian akipewa mkataba atakuwa kama Pedro wa kukaa kwenye benchi tuuu! Mimi naona tumruhusu tu aondoke
 
Maoni yangu kwa mechi ya jana Chelsea VS Spurs
Kuna wakati Rudiger hayuko serious, goli la Maguire alifanya blunder, jana tena sikujua alikuwa anadefend nini hata kama ni bahati mbaya mpira ulimbabatiza
Alonso jana alicheza vizuri sana kama Wing-back ila kuna incident kama mbili hivi alirudi kwenye ujinga wake wa kuzubaa mpaka akapitwa na opponent wake
Kule mbele Barkley anajua kuutendea mpira haki japo generally bado Barkley ni mzito na anachoka haraka
Goli la pili wachezaji watatu, Mount, Barkley na Alonso walishirikiana vizuri na lile goli la Alonso ni superb
Katikati nilichogundua Kante hana chemistry nzuri na Jorgin ila Kova anayo
Tukipata pesa ndefu Kante auzwe ili tumlete mtu mwenye chemistry nzuri na timu.
GK Caba kacheza vizuri jana, kaokoa magoli ya wazi kama mbili hivi, ila tu naona goli la OG l;a Rudiger angekuwa fast tu kidogo angeweza kutoa nje ule mpira na kumaitain cleansheet.
Tammy Abraham ile mentality yake ya mwanzo naona imepoa japo mimi binafsi bado namuamini sana Abraham, ni kijana mdogo, career ya mpira bado ni ndefu kwake, ana mambo mengi ya kujifunza kwa wazoefu kama Giroud lakini sio kwa Batsuayi ambaye ni striker mvivu kupata kutokea. Aende tu kwenye ligi ndogo labda huko ataperform
 
Arsene Wenga Nasikia jana alishangilia ushindi wa Chelsea dhidi ya Spurs ya Mourinho
 
Wale mnaosema Lampard aondoke hivi mnataka kila msimu tuwe tunaanza upya?

Wale wa Lampard anapendelea wa Ingereza mmeona faida ya wachezaji kuwekwa benchi kama Alonso? Nadhani siku Emerson anarudi atarudi atakua moto.

Je mnaolalamika kila tunapofungwa nawauliza ushindi wa jana si wenu eeh?

Sina maana mbaya na mtu yoyote ila nachotaka kusema sisi Chelsea fans tuwe na subira. Let us learn to hold our guts najua hatuwezi fanana kimawazo na naelewa ndio kuna muda Lampard anazingua ila kadri tunavyoenda hata yeye anajifunza. Mimi naamini Lampard anakotupeleka ni kuzuri zaidi ya tulikotoka. Mimi huwa naboreka zaidi kile kitendo cha fukuza makocha kila msimu yan inakua kila msimu tunaanza upya wakati huo tunaachwa sana na wengine.

Lampard our past, our present our future. The super Frankie. We win and lose together.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na hili la Kante kuuzwa... 100%. Kipindi fulani PSG walikuwa wanataka kutoa €100m kwa Kante...
Maoni yangu kwa mechi ya jana Chelsea VS Spurs
Kuna wakati Rudiger hayuko serious, goli la Maguire alifanya blunder, jana tena sikujua alikuwa anadefend nini hata kama ni bahati mbaya mpira ulimbabatiza
Alonso jana alicheza vizuri sana kama Wing-back ila kuna incident kama mbili hivi alirudi kwenye ujinga wake wa kuzubaa mpaka akapitwa na opponent wake
Kule mbele Barkley anajua kuutendea mpira haki japo generally bado Barkley ni mzito na anachoka haraka
Goli la pili wachezaji watatu, Mount, Barkley na Alonso walishirikiana vizuri na lile goli la Alonso ni superb
Katikati nilichogundua Kante hana chemistry nzuri na Jorgin ila Kova anayo
Tukipata pesa ndefu Kante auzwe ili tumlete mtu mwenye chemistry nzuri na timu.
GK Caba kacheza vizuri jana, kaokoa magoli ya wazi kama mbili hivi, ila tu naona goli la OG l;a Rudiger angekuwa fast tu kidogo angeweza kutoa nje ule mpira na kumaitain cleansheet.
Tammy Abraham ile mentality yake ya mwanzo naona imepoa japo mimi binafsi bado namuamini sana Abraham, ni kijana mdogo, career ya mpira bado ni ndefu kwake, ana mambo mengi ya kujifunza kwa wazoefu kama Giroud lakini sio kwa Batsuayi ambaye ni striker mvivu kupata kutokea. Aende tu kwenye ligi ndogo labda huko ataperform

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Above all other things... Kante akipona tutarudi kulekule.
Wale mnaosema Lampard aondoke hivi mnataka kila msimu tuwe tunaanza upya?

Wale wa Lampard anapendelea wa Ingereza mmeona faida ya wachezaji kuwekwa benchi kama Alonso? Nadhani siku Emerson anarudi atarudi atakua moto.

Je mnaolalamika kila tunapofungwa nawauliza ushindi wa jana si wenu eeh?

Sina maana mbaya na mtu yoyote ila nachotaka kusema sisi Chelsea fans tuwe na subira. Let us learn to hold our guts najua hatuwezi fanana kimawazo na naelewa ndio kuna muda Lampard anazingua ila kadri tunavyoenda hata yeye anajifunza. Mimi naamini Lampard anakotupeleka ni kuzuri zaidi ya tulikotoka. Mimi huwa naboreka zaidi kile kitendo cha fukuza makocha kila msimu yan inakua kila msimu tunaanza upya wakati huo tunaachwa sana na wengine.

Lampard our past, our present our future. The super Frankie. We win and lose together.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
match ya jana umeangalia?

Tunashindwa kumtumia Kante katika natural position yake. So its better tu akauzwa.

Hiyo Joginho akikaa benchi nadhani unakijua kinachotokea.
KANTE leo wa kuuzwa? Badala ya kuuzwa mvivu Joginho? Kweli maisha yanaenda kasi sana. Kante arudishwe kucheza nafasi yake defensive midfielder. Asajiliwe attacking midfielder.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri kante akipona utakuja kuikumbuka hiyo post...

Sent using Jamii Forums mobile app
kante kuuzwa sio rahic labda yeye alazimishe kuondok but kam clabu kuumuza ni ngumu

Hata Claudio makelele kun kipindi nae alikuw anshuk kiwango but at the end akarudi kwenye ubora wake,,,
So kante no mchezaji pia hawez kuwa on form miaka yote saiz kaflop but akiuzwa utataman arudi
 
Kante ni mchezaji nzuri na ndio maana nilisema pesa nzuri ikipatikana. Kante ameshindwa kufit kwenye midfield. Na usiseme Kante acheze original position kwa sababu alishacheza Mara nyingi na Bado chemistry yake sio nzuri.
Kwenye mifumo ya 3-4-3 au 4-2-3-1 ambayo Lampard anapenda kutumia Kante huwa anacheza purely defensively. Only kwenye 4-3-3 ndio Kante anacheza advanced role. Jana kwenye Ile pasi ya Joeginho kwenda kwa OG na Ile ya Dec nadhani kwenda kwa Tammy ndio utajua Jorgi NI mnyama. Jorgi Kuna wakati anachoka na KUWA kwenye bad form Ila Ana chemistry nzuri na Kova. Akiuzwa pesa nzuri tutaweza kuwaleta viungo wanaomatch na mfumo wa Lamps

Back
Top Bottom