Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maoni yangu,,

Kipa bado ni tatizo,, dirisha kubwa tutafute tu kipa mwingine na kepa awe no.2

Azpilicueta bado ni mzuri sana,, na nadhani ni mchezaji pekee kwa sasa anaecheza kwa kujitoa chelsea 100%(he has blue veins),,

Alonso na james walikua perfect sana,, tatizo ni pumzi tu bado inawasumbua..

Rudiger mzuri, christiansen bonge la beki afu ana utulivu mzuri sana huyu jamaa,, anastahili kuja kua nahodha baadae..

Gorgi & kova combo works again

Mbele giroud alisababisha timu ikatulia sana pale mbele,, naona umuhimu wake na ndo maana hazard alikua anampenda sana huyu jamaa,, hapotezi mipira anawa"bull mabeki na pia ana maamuzi ya haraka sana..

Mount ni mzuri anahitaji muda kufika potential yake..

Willian, kwa kweli simuelewi saivi gemu nyingi naona hayuko committed 100%,, anacheza basi tu .. Hajitoi inavyotakiwa, nahisi hii kunyimwa mkataba inamuuma sana
 
Hivi kwanini VAR ya Epl hairuhusu marefa kwenda kuangalia kwenye tv uwanjani then refa afanye decision mwenyewe?

Tofauti na VAR za ligi nyingine even UEFA refa anafanya decision baada ya kwenda kuangalia kile tv, wale VAR unit kazi yao ni kumuonyesha tukio husika kwenye kile kitv uwanjani.
Washaambiwa

IMG_20200222_174459.jpeg
 
Leo mount kajitaidi kuonyesh kiwango chke , Reece James as usual hajawah kuniangusha anaperform vzr, then giroud alkuw kweny form yake

Kovac kipind cha Kwanza kachez vizur but kipnd cha pili alikuw kachoka Sana same to gorjino alichoka ,ikawapa chanceTottnehum kutawala mpira

Tammy Abraham few minutes kacheza but utumbo
 
@ollachuga embu njoo hapa ujieleze.

Inakuwaje kama shabiki wa Chelsea, ushabiki wana CHELSEA unaufanya kwenye majukwaa mengine ila hapa kwenye jukwaa lako rasmi hupost wala hukocomment chochote?

hahahaha veri interesting brother.
Hahahahaha nazingua kinoma, Sema hapa ci home tu braza ...muhimu chama lisonge ..

Nani anafuata wa kumpiga tena...??

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UK wanajikutaga wapo tofauti.

Walisema wataanza kutumia huo mfumo wa refa kwenda kuangalia Tv ya uwanjani kama week 2 zimepita. Ila sielewi nini kinaendelea.
Hivi kwanini VAR ya Epl hairuhusu marefa kwenda kuangalia kwenye tv uwanjani then refa afanye decision mwenyewe?

Tofauti na VAR za ligi nyingine even UEFA refa anafanya decision baada ya kwenda kuangalia kile tv, wale VAR unit kazi yao ni kumuonyesha tukio husika kwenye kile kitv uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Tammy amekosaje lile goal? Dah
Leo mount kajitaidi kuonyesh kiwango chke , Reece James as usual hajawah kuniangusha anaperform vzr, then giroud alkuw kweny form yake

Kovac kipind cha Kwanza kachez vizur but kipnd cha pili alikuw kachoka Sana same to gorjino alichoka ,ikawapa chanceTottnehum kutawala mpira

Tammy Abraham few minutes kacheza but utumbo
 
Ndugu zangu blues huyu Tammy alipaswa kumaliza gemu mapema tungeongoza tatu hata cleansheet ingepatikana bado tunasafari ndefu wachwzaji wetu wanashindwa kumaliza gemu mapema
 
Hakuna red card kama ile...Ni kiherehere chake cesar kajiingiza mwenyewe kakanyagwa na jamaa bila kujua anaanza kugaragara ka likiboko
. Ile ilkuw red card ndomana after gemu wamekubali alistahili rer card
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom