Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ubora wao upo kwenye striking force pamoja na mabeki wa pembeni.

Mimi naamini Bayern wanafungika hawana ubora kama ule waliokua nao kipindi kile.

Sent using Jamii Forums mobile app
. Mechi ya kesho Chelsea anahitaji umakini mkubwa hasa kwa defenders pale mbele Bayern kila mtu anjua kufunga so serious making is needed
 
Nakuunga mkono asimilia 💯 ila yule Lampard Kuna wakati anakuwa mpuuzi utashangaa ataanza na Abraham, Giroud atamuweka benchi hapo ndo anaponichosha Lampard.
Hawezi, labda aingie 20 mins
Naunga mkono hii

Mount - Giroud - Willan
Alonso - Kovacic - Joginho- Azipilicueta
Rudger - Christensen - James
Cabalero
 
Lakini kuhalisia unadhani atampanga nani na nani kuziba nafasi za Mont na Barkley? Ndio maana nikasema ni aidha mmoja wao au wote wakaanza kikosi cha kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mimi ninampenda Barkley, ana touches chache lakini za uhakika. Barkley kakomaa kidogo akicheza na Willian na Giroud tunaweza wasumbua kule mbele
 
Naona vikao vya ndugu vinaendelea ila natumaini hakuna shabiki wa Chelsea ambae akili yake hipo kwenye ubingwa wa Uefa sijuhi nipo sawa wakuu

Embu tuwe serious hivi Bayern awe na jambo lake hivi Mount -Abraham-kepa watafanya nini hawa ?

Cityzen chairman am here
 
Subiri kijana time will tell.
 
Willian anacheza kama hataki sababu anajua msimu ujao atasepa.

Ni bora tu akae benchi hiyo nafasi acheze hata mason mount.

Game ya totte mount aliperform vizuri sana.
Mfumo wanaocheza Bayern ni 3 - 4 - 2 - 1

Nadhani tuingie na mfumo wa 3 - 4 - 3 twende nao sambamba.

Pulisic - Giroud - Willan

Alonso - Kovacic - Joginho- Azipiculeta

Rudger - Christensen - JamesView attachment 1367824

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani roho inauma sana hasa pale mnapomtaja Mount hivi huyu Dogo hata 120min Anaweza kucheza kweli mbona uwezo wake ni wa kawaida sana

Jamani embu tuwe serious kwenye football
 
We unashabikia timu gani? Tuanzie hapo. Maana bayern tutamtoa na hutoamini
Naona vikao vya ndugu vinaendelea ila natumaini hakuna shabiki wa Chelsea ambae akili yake hipo kwenye ubingwa wa Uefa sijuhi nipo sawa wakuu

Embu tuwe serious hivi Bayern awe na jambo lake hivi Mount -Abraham-kepa watafanya nini hawa ?

Cityzen chairman am here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaangalia mechi za Bayern msimu huu. Ubora wao upo wapi?
Kuna kiumne kinaitwa Serge Gnabry.....hahahaha alishaleta taharuki hapo London na akathibisha kuwa London is Red....ila Lewandosky,Coutinho bado wapo katika viwango vya juu mno...

Ushauri wangu kwako jirani ni ujipange kisaikolojia.

NB: Hakuna msiba uliokosa waombolezaji....
 
Kuna kiumne kinaitwa Serge Gnabry.....hahahaha alishaleta taharuki hapo London na akathibisha kuwa London is Red....ila Lewandosky,Coutinho bado wapo katika viwango vya juu mno...

Ushauri wangu kwako jirani ni ujipange kisaikolojia.

NB: Hakuna msiba uliokosa waombolezaji....

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea siyo arsenal.

Hivi huwa mnajisikiaje mkizikumbuka zile goal 10?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom