Keppa - Bunduki isiyokuwa na risasi
Caba - Jiwe Fatuma
Jammie - kombeo
Na lampard kaliona hilo anamtaka Nick pope
Yaan kama timu ikifanya On target 5 kwa kepa na cabarelo ,kuna uhakika wa magoli 3
[emoji823]If spurs win on Saturday it takes Mourinho boys to 43 points- 4th position shifting Chelsea down to 5th position.
If Sheffield beats Brighton it takes them to 42points- 5th position shifting Chelsea down to 6th position
If Manchester United wins on Sunday it takes them 41points- 6th position shifting Chelsea down to 7th
A must win today[emoji123][emoji123][emoji838][emoji838]
Sent using Jamii Forums mobile app
asee uyo barkrey ndo kiazi kweli Yan zigo tu bora angeanz Willian kuliko uyu mleviSijui kwa nini Willian hakuanza
Nimefurahi Giroud kuanza badala ya Batshu
Kaokoa mbili za wazi ila mabeki leo wanajitahidi kumlinda
Refa anaruhusiwa kucheki kwenye video za pembeni sema tu ni viburi vyao na kuamini wale waliondaniHivi kwanini VAR ya Epl hairuhusu marefa kwenda kuangalia kwenye tv uwanjani then refa afanye decision mwenyewe?
Tofauti na VAR za ligi nyingine even UEFA refa anafanya decision baada ya kwenda kuangalia kile tv, wale VAR unit kazi yao ni kumuonyesha tukio husika kwenye kile kitv uwanjani.