Bado ni tetesi tu mkuu chilumendo..
kama anakuja itakuwa kwa ajili ya kuleta hamasa kwa wachezaji au kusaidia kwenye kufundisha washambuliaji..kwa sasa hatuna kocha msaidizi ambaye ni mtaalamu wa kitengo hicho ..

Mkuu agosti kuna tetesi kwamba legend drogba mourinhyo anamtaka,hivi anamhitaji kama mchezaji au kocha na kama anamhitaji kama mchezaji mbona uwezo wake wa chini ukicompare na wachezaji tulionao.