je, Ujerumani imeingia fainali kwa kumtegemea nani?
kama wewe ni mtu wa Chelsea FC, unapaswa kuwa mwelewa kwamba hapa CHELSEA FC hatujawahi kumtegemea mchezaji mmoja tu, au kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja.
MIFANO:
Chelsea 2- 0 PSG. hii mechi Hazard alianza, lakini kocha alipoona kwamba kijana hayupo fiti kwa mapambano, alimtoa hata kabla ya dakika 20, akaingia Andre Schurrle..ambaye alifunga goli la kwanza. Kipindi cha pili akamtoa kipenzi cha mashabiki, one of the Chelsea legends, Frank Lampard na kumwingiza uwanjani..Demba Ba..dakika ya 87 tukapata ushindi..kupitia goli alilofunga Ba.
MFANO #2, Chelsea FC vs Barcelona 2012. Tulikuwa tumefungwa goli 1, na ndipo JT akatolewa kwa kadi nyekundu, tukafungwa goli la 2...lakini kabla ya mapumziko Ramires akafunga goli 1, kipindi cha pili dakika za mwisho mwisho..Fernando Torres akasawazisha na kuisaidia Chelsea Fc kuingia fainali na hatimaye kuchukua ubingwa..
NB: Chelsea Fc ina wachezaji 3 kwenye timu ya taifa ya Brazil, lakini hiyo haina uhusiano wowote na kiwango cha Chelsea..:cool2: