Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

nyepesi nilizopata eti Chelsea wamekata rufaa sababu Borini ni mchezaji wa Liverpool kwahiyo sio rahisi kukosa penalt kutokana eti common intrest Liverpool/Chelsea
 
Kwa mtu yeyote anaetaka kupata mail yng au no za simu zangu ani pm anipe zake nami ntampa zng ili km misiba ikitokea km sipo on line mnitafute moja kwa moja!

Mkuu PM yangu sasahivi utaipata....
 
nyepesi nilizopata eti Chelsea wamekata rufaa sababu Borini ni mchezaji wa Liverpool kwahiyo sio rahisi kukosa penalt kutokana eti common intrest Liverpool/Chelsea

teh teh teh teh teh teh teh teh teh hakika mkuu ingekuwa bongo basi tungeyasikia yale ya Yanga na mchezaji wa Jkt mgambo.
 
Maskini Ntuzu the Champion!!!! Majogoo haao wana goli 3 mpaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
haya ya FITINA ZA WAINGEREZA uliyajua tangu lini???jana??? sasa kwanini UNATANGAZA UBINGWA wakati unajua LIVERPOOL timu ya waingereza itabebwa? Ntuzu kumbe wewe ni aina ile ya mashabiki wanaoamini timu fulani zinabebwa,sasa itakuwa ngumu kuongea mpira na wewe,kwasababu mkishinda nyinyi against ten man au kwa penati ni sawa...ila siku mkifungwa nyinyi ni HUJUMA ILI TIMU FULANI IWE BINGWA....so whats the point kujadili ligi iliokwisha pangwa??? wewe sio mwanamichezo ni MSHABIKI TU WA CHELSEA CHELSEA CHELSEA....sio mwanamichezo.

cc: MosDef Mr. Wise AL SHARPTON

Ha ha ha muulize hizo Hujuma alifunga goli ngapi mwamuzi akazikataa???nilimpa FACT : Chelsea ni team isiyoweza kufunga magoli msimu huu, ilo ndio lina wa cost, Hawana striker ambae ni mechi Winner, we midakika yote unashambulia ufungi kha, kila mechi
 
Heri ya pasaka mkuu Ntuzu na agosti 8 vilevile napenda kutoa pole za dhati kwa kipigo mlichoshushiwa na vijana wa Gus Poyet!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu agosti 8 napenda kuwataarifu kuwa ujenzi wa daraja lilovunjwa na vijana watukutu wa sunderland utamalizika muda c mrefu make Magufuli amekesha akisimamia ujenzi! Source BBC london.
 
Last edited by a moderator:
Waingereza timu zao zinajulikana km Liverpool, Man Utd na Newcastle na zipo zingine! Wakiona timu Ina nafasi ya kuchikua ubingwa lazima wakunyonge!

Kumbuka goli la utata la Liverpool dhidi ya Chelsea CL alilookoa Galas Mwaka 2005 na mechi ya mwisho ya man Utd aliyopewa penalty msimu Wa 2007 ivi km sijakosea! Hicho ndicho Liverpool atafanyiwa hasa Hizi game zilizobaki! Na ktk michango Yangu hapo nyuma kabla ya hii game nilisahau kabisa kuzungumzia FITINA za waingereza na FA kwa ujumla dhidi ya Chelsea na Jose Mourinho!

Teh Teh Teh Teh

Na uzuri Jose anawachana kweli kuanzia Media waamuzi etc!

Acha kuweweseka timu yako mbovu
Goli la 2005 ilikuwa ni Champions league,how FA waibebe Liverpool kwenye mashindano ya UEFA badala kuibeba kwenye EPL?
 
nilivyoangalia mpira leo ya Liverpool naona Chelsea na Liver wanacheza formation moja na mpira utakuwa wa kuviziana mmoja akipata goli ndio hivyo huenda lisirudi
Nahisi hii gemu inaweza kutoka suluhu lakini mpira sio 1+1=2 dakika 90 ndio msemaji
 
Acha kuweweseka timu yako mbovu
Goli la 2005 ilikuwa ni Champions league,how FA waibebe Liverpool kwenye mashindano ya UEFA badala kuibeba kwenye EPL?


and all the penalties?

3 against United and 2 against West ham;

u know what you're getting..it's your turn now.
 
Wapi Ntuzu wapi agosti 8 mbona mmekimbia nyumba yenu hahahahahaha! Chezeya Poyet wewe utaumia mwenyewe!!!

The first point is to congratulate my players, they did everything they could. They fought, they played from the first to the last second and they deserve that [praise]. Sometimes we praise them when we win but I think it's fair to praise my players after a defeat. 'Secondly, congratulations to Sunderland. It doesn't matter how or why, or in which way, they won, but they won. It was three fantastic points for them so I think it's fair to congratulate them.

'The third point is I want to congratulate [referee] Mike Dean. I think his performance was unbelievable and when referees have unbelievable performances I think it's fair, as managers, we give them this. It was a fantastic performance, he came here with one objective, the objective to make a fantastic performance, and he did that.

'The fourth point, I think it's also fair to congratulate Mike Riley, because he's the referees' boss, and what they are doing during the whole season is fantastic, especially in the last couple of months, and especially in the games which have involved teams in the title race. It's absolutely fantastic and I also congratulate him.' - Maneno ya Jose Mourinho.
 
Acha kuweweseka timu yako mbovu
Goli la 2005 ilikuwa ni Champions league,how FA waibebe Liverpool kwenye mashindano ya UEFA badala kuibeba kwenye EPL?


Belo wewe mwenyewe ni muhanga wa haya. kocha wako Moyes alilalamika baada ya LIVERPOOL kupewa penati 3 rahisi rahisi siku ile mlipochapwa 3 na Liver; umesahau kisa na mkasa kwa sababu ni sisi?

Goli la kwanza lilikuwa clear offside; penati ya Sunderland ilikwua fake; kwa sababu video inaonyesha wazi kwamba jamaa hakuguswa hata kidogo; si shangai Uingereza haifiki mbali kombe la Dunia;
 
Mkuu agosti 8 kile tunachokiamini Sisi kwenye timu yetu na kocha wetu si sawa na hawa Wa timu zingine! Ndio maana unaona hawataki kutuelewa!

Lkn Ukweli utabaki pale pale Sisi ni timu bora chino ya kocha bora!
 
Last edited by a moderator:
Norwich City wakanyimwa penati yao. Mamadou Sakho alimuangusha jamaa ndani ya box makusudi..
Mshindwe kuwa mabingwa kweli?

mmebaki kuangalia makosa ya wenzenu tu,wake up brother,mpira ni mchezo wa makosa! Chelsea haikuwa na haina guarantee kwamba lazima awe bingwa yeye,ndo mana mpira unapigwa.
 
Belo wewe mwenyewe ni muhanga wa haya. kocha wako Moyes alilalamika baada ya LIVERPOOL kupewa penati 3 rahisi rahisi siku ile mlipochapwa 3 na Liver; umesahau kisa na mkasa kwa sababu ni sisi?

Goli la kwanza lilikuwa clear offside; penati ya Sunderland ilikwua fake; kwa sababu video inaonyesha wazi kwamba jamaa hakuguswa hata kidogo; si shangai Uingereza haifiki mbali kombe la Dunia;

acha visingizio wewe!! penati moja tu ya man utd ndio ilikuwa SIO[sturridge ali-dive] hata bila penati man utd tulizidiwa.

goli la kwanza hamna offside pale hio video inayoonyesha offside yako wewe analysis zote zimeonyesha ilikuwa ONSIDE

penati ni penati halali beki wenu alimburuza jamaa ankle ndio maana alianguka....uingereza haifiki mbali world cup kwa sababu ligi imejaa wageni % ndogo ya wachezaji wa kiingereza wanacheza regularly na si kwasababu ya marefa hio ni biashara ya PREMIER LEAGUE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom