Kila siku nasema kila timu inabebwa huo ndio ukweli,Chelsea mlibebwa game dhidi ya WestBrom,Spurs na Liverpool mbona mlikaa kimya
Goli la kwanza Jana yule kipa wenu alicheza fyongo akatema jamaa akamalizia
So England haifiki popote WC sababu Sunderland wamepewa penati?
Nilishasema tatizo la Morinyo siku hizi mechi ndogo haziwezi amezoea mechi kubwa anadefend na kufanya count attack ,ukicheza na timu ndogo unatakiwa uishambulie uifunge magoli mengi mapema umalize game hii imewasaidia sana City na Liverpool
Nilikuwa nawapinga mlivyokuwa mnasema eti Jose alikuwa sahihi kumpiga mechi Mata kisa hakabi why mchezaji arudi kukaba wakati unacheza na Aston Vila au Sunderland timu ambayo unatakiwa ushambulie ili ushinde