Teh Teh Teh Teh Teh
Wakuu nimerudi baada ya Kua na Majukumu ktk ibada ya uzinduzi Wa Morning star Tv!
Sikupata ata ile nafasi ya kuutizama mpira! Ila nimeweza kusoma habari ktk wavuti ya Chelsea na pia hoja mbalimbali za wadau!
Anyway mmenitafuta sn Lkn Mimi nipo na Ndio nimelog in muda so mrefu!
Teh Teh Teh kwakifupi Refa Ndio kaharibu game ya Leo na pia kwa kesho tutegemee Lfc kupewa Penalty ashinde kilaini na hii inaweza ikafanyika ktk game zote za Lfc! Hizi ni hujuma za waingereza ktk timu yetu!
Ni kawaida ya mashabiki Wa Chelsea coz tunashabikia timu imara chini ya kocha bora na tunaweza! Na pia ukianzia kwa kocha mpk mashabiki wote ni waongeaji!
Teh Teh Teh Teh Teh
Wakuu nimerudi baada ya Kua na Majukumu ktk ibada ya uzinduzi Wa Morning star Tv!
Sikupata ata ile nafasi ya kuutizama mpira! Ila nimeweza kusoma habari ktk wavuti ya Chelsea na pia hoja mbalimbali za wadau!
Anyway mmenitafuta sn Lkn Mimi nipo na Ndio nimelog in muda so mrefu!
Teh Teh Teh kwakifupi Refa Ndio kaharibu game ya Leo na pia kwa kesho tutegemee Lfc kupewa Penalty ashinde kilaini na hii inaweza ikafanyika ktk game zote za Lfc! Hizi ni hujuma za waingereza ktk timu yetu!
Teh Teh Teh Teh Teh
Wakuu nimerudi baada ya Kua na Majukumu ktk ibada ya uzinduzi Wa Morning star Tv!
Sikupata ata ile nafasi ya kuutizama mpira! Ila nimeweza kusoma habari ktk wavuti ya Chelsea na pia hoja mbalimbali za wadau!
Anyway mmenitafuta sn Lkn Mimi nipo na Ndio nimelog in muda so mrefu!
Teh Teh Teh kwakifupi Refa Ndio kaharibu game ya Leo na pia kwa kesho tutegemee Lfc kupewa Penalty ashinde kilaini na hii inaweza ikafanyika ktk game zote za Lfc! Hizi ni hujuma za waingereza ktk timu yetu!
Kwa mtu yeyote anaetaka kupata mail yng au no za simu zangu ani pm anipe zake nami ntampa zng ili km misiba ikitokea km sipo on line mnitafute moja kwa moja!
wajisikiaje lakini???
Leo ulipata msiba?
wajisikiaje lakini???
Anajisikia laha tupu...anasubiri mechi na Norwich akabidhiwe "Ubingwa" .
Teh Teh Teh Teh Teh
Wakuu nimerudi baada ya Kua na Majukumu ktk ibada ya uzinduzi Wa Morning star Tv!
Sikupata ata ile nafasi ya kuutizama mpira! Ila nimeweza kusoma habari ktk wavuti ya Chelsea na pia hoja mbalimbali za wadau!
Anyway mmenitafuta sn Lkn Mimi nipo na Ndio nimelog in muda so mrefu!
Teh Teh Teh kwakifupi Refa Ndio kaharibu game ya Leo na pia kwa kesho tutegemee Lfc kupewa Penalty ashinde kilaini na hii inaweza ikafanyika ktk game zote za Lfc! Hizi ni hujuma za waingereza ktk timu yetu!
Kweli mkuu wana hujuma kweli na wewe!!Maana last Week walikufanyia hujuma ukacheza na watu pungufu kwa kadi iliyoombwa na Terry, na WBA walikufanyia hujuma wakakupa penalt dk94 baada ya Ramires ku dive, Yaaani full hujuma dah!!
Mi ngojea nisubiri dk 90 za ksho
FACT : "Chelsea ni team Isiyokua na Uwezo wa kufunga magoli" leo bahati ya Demba Ba imeota mkeka
Nonda bana! Hata kumpa pole mwenzio hakuna we unafikia kumsulubu na maswali makali namna hiyo. Ntakuchongea Uhamiaji kua wewe ni raia wa nchi mbili, hahaaa (natania)
Teh Teh Teh Teh
Mkuu mi niko pouwa kabisa! Yani moyo wangu uko powa kabisa!
Mimi menyewe ndio mkuu wa uhamiaji!Kalibu ofisini.
Nilimrudishia Lafiki yangu Ulimwengu uraia wake.
Nimpe pole kwa msiba upi? Hajatangaza msiba bado. Kuna viwanda vya uongo tu vinavyosema 2-1. Mpaka pale Bingwa Ntuzu atakapothibitisha janga lililotokea, hapo pole na rambirambi zitamiminika.