Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu nazifahamu FITINA dhidi ya Jose Vzr sn! Na hii inatokana na umahiri wake mzuri!

Unakumbuka ile game yenu na WBA pale Darajan??

Ile penalty mliyopewa baada ya Ramirez kudive!!!

kadi nyekundu ya kipuuzi aliyopewa Chico flores wa swansea na Phil dowd baada ya kushinikizwa na JT..

Game ya Chelsea Vs liverpool, mbona Refa aliwabeba???

Man city alitoa draw na sunderland pale ETIHAD, kwahyo nae kafanyiwa FITNA??

Afu ni kama kwako tu, sunderland walifunga goal ya pili dk ya 83 pale Etihad, lakin dk 6 au 7 bdae Man city wakasawazisha..we ulishndwa nn??, tatizo lako ninakwambia kila siku, team yako inacheza mpira m-bovu sana..misese yako pale mbele, Etoo, Ba na Torres haikusaidii chochote..

Acha visingizio Aisee!!!
 
Wewe kijana nasoma habari za michezo Zaidi unavyoweza kufikiria! Hayo ni maoni Yao km Wewe unavyotoa moani hapa!

teh teh teh teh kweli hiki kipigo kimekuchanganya....haya wacha niangali formula one tutaongea zaidi jumanne kumbuka jumanne mimi ni ATM nitakupa 3 EUROs
 
Unakumbuka ile game yenu na WBA pale Darajan??

Ile penalty mliyopewa baada ya Ramirez kudive!!!

kadi nyekundu ya kipuuzi aliyopewa Chico flores wa swansea na Phil dowd baada ya kushinikizwa na JT..

Game ya Chelsea Vs liverpool, mbona Refa aliwabeba???

Man city alitoa draw na sunderland pale ETIHAD, kwahyo nae kafanyiwa FITNA??

Afu ni kama kwako tu, sunderland walifunga goal ya pili dk ya 83 pale Etihad, lakin dk 6 au 7 bdae Man city wakasawazisha..we ulishndwa nn??, tatizo lako ninakwambia kila siku, team yako inacheza mpira m-bovu sana..misese yako pale mbele, Etoo, Ba na Torres haikusaidii chochote..

Acha visingizio Aisee!!!

ameshasema hapa ni CHELSEA THREAD kwahio atatetea chelsea kwa lolote hata kama ni nonesense kama hii ya LIVERPOOL kufanyiwa kampeni wachukue kombe.......
 
Nimeona hapo, umemshushia Facts za maana sana aisee!!, ameelewa lakin analeta tu ubishi wa kishabiki..

Juzi juzi tu hapa katoka kushinda 6 dhidi ya Arsenal, Gibbs alitolewa nje kimakosa kwa redcard, baada ya AOX kuudaka mpira, lakin wachambuz walzungumzia kwamba haikupaswa kuwa redcard coz mpira ulikuwa hauelekei golin ule..Watu wakaamua kuikaushia tu..

Ile game yake na Spurs, alishinda 4, na kaboul alitolewa kwa red card, ilikuwa 11chelsea men vs 10spurs men!!

Ikaja kwa swansea, hivyo hivyo..

Lakin ikitokea mchezaj wa chelsea kapewa redcard, akina Ntuzu na Kocha wao watapiga sana makelele!!!, mbona teams zingne watu wanapewa redcard na wanakausha tu..

Jana kafungwa anakwambia FITNA, mbona aingelei ile ishu ya RAMIREZ kipindi cha kwanza???
 
Ukweli unauita nonsense! Teh Teh Teh

We mgeni na Waingereza? Wewe mgeni na FA? Teh Teh Teh

Babu Eto'o alikufunga tatu peke yake! Nae utasema hakusaidia?

ATM lazima waumwe Na Simba Wa blue! Na Leo tunaanza safari ya Madrid! Kaa Miao Wa burudani! Uone the blues wanavyotupa raha!
 
yaani ni kama siku ile LIVERPOOL wametufunga man utd 3-0 eti tuseme sababu ni zile penati 3 na red card ya vidic wakati inaonekana dhahiri tulizidiwa.....tatizo la Ntuzu na wenzie ni washabiki wa chelsea na si mpira na hilo amelisema hapa kwamba ni CHELSEA THREAD kwahio atatetea nonesense yoyote ya chelsea.
 
Last edited by a moderator:

na jana angefunga tatu nyingine leo usingekuwa unalialia hapa....

yaani ni kama siku ile LIVERPOOL wametufunga man utd 3-0 eti tuseme sababu ni zile penati 3 na red card ya vidic wakati inaonekana dhahiri tulizidiwa.....tatizo la Ntuzu na wenzie ni washabiki wa chelsea na si mpira na hilo amelisema hapa kwamba ni CHELSEA THREAD kwahio atatetea nonesense yoyote ya chelsea.

Yeah..naikumbuka sana ile game ya Man utd, na iliisha salama..na watu wakakubal ni hali ya mchezo, japokuwa kulikuwa na baadhi ya makosa ya waz ambayo refa aliyafunika..

Lakin mbona ilipita vizuri tu..Huu mtindo wa Team inayocheza mpira m-bovu na kupata matokeo mazuri hauleti usawa katika soka..nadhan hata mwnyw utakumbuka kwny ile game yenu na Madrid, kwny UCL last season, Huyo Mourinho mwenyewa baada ya Match, akasema team bora kwnye mpambano huu ndo imepoteza, ni baada ya ile perfomance ya Man utd siku ile..

Lakin leo hii, na mpira M-bovu anaocheza anataka matokeo mazuri...huo siyo usawa!!!!
 
football ndio ilivyo leo kwako kesho kwangu.... Ntuzu tuonane baadae naombea liverpool wapewe kichapo au draw ligi izidi kuwa tamu!!! na jumanne lazima chelsea mpewe kichapo kule spain
 
hahahahahahah!!!!!

RRONDO bhana...

Aya bhana kaka...saa 8 hyooo..haiko mbali saaana!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimeona hapo, umemshushia Facts za maana sana aisee!!, ameelewa lakin analeta tu ubishi wa kishabiki..

Juzi juzi tu hapa katoka kushinda 6 dhidi ya Arsenal, Gibbs alitolewa nje kimakosa kwa redcard, baada ya AOX kuudaka mpira, lakin wachambuz walzungumzia kwamba haikupaswa kuwa redcard coz mpira ulikuwa hauelekei golin ule..Watu wakaamua kuikaushia tu..

Ile game yake na Spurs, alishinda 4, na kaboul alitolewa kwa red card, ilikuwa 11chelsea men vs 10spurs men!!

Ikaja kwa swansea, hivyo hivyo..

Lakin ikitokea mchezaj wa chelsea kapewa redcard, akina Ntuzu na Kocha wao watapiga sana makelele!!!, mbona teams zingne watu wanapewa redcard na wanakausha tu..

Jana kafungwa anakwambia FITNA, mbona aingelei ile ishu ya RAMIREZ kipindi cha kwanza???

Hakuna tukio lisilo na majibu!

Fatilia maneno ya Jose dhidi ya Ox na Gibbs!

Ata spurs na Swansea city! Kwahiyo msidanganyane hapa kwamba hatukutoa maelezo!

Na huo ni uongo ule mpira ulikua unakwenda golini na red card ni sahihi kabisa kwa Ox kwasababu huwezi zuia mpira km unakwenda golini kwa mkono! Kumbuka mechi ya Uruguay na Ghana SA Suarez ilikuaje?alipewa Kadi nyekundu! Au ktk Hilo mnajitoa ufahamu kwasababu ni Chelsea? Mnazidisha mahaba? Teh Teh Teh Teh
 
football ndio ilivyo leo kwako kesho kwangu.... Ntuzu tuonane baadae naombea liverpool wapewe kichapo au draw ligi izidi kuwa tamu!!! na jumanne lazima chelsea mpewe kichapo kule spain

Sisi ni timu bora Ndio maana tunakua na sababu ya kila matokeo!

Teh Teh Teh Teh

Mike Dean nomaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kijana nasoma habari za michezo Zaidi unavyoweza kufikiria! Hayo ni maoni Yao km Wewe unavyotoa moani hapa!

Mmekomeshwa nyie maamuma. Nasema mpigwe tu, muendelee kupigwa, tumechoka. Na jumanne mpigwe tu, tumechoka. Chezea Fabio Borini, amemgeuza Moureen cry baby
 
Hakuna tukio lisilo na majibu!

Fatilia maneno ya Jose dhidi ya Ox na Gibbs!

Ata spurs na Swansea city! Kwahiyo msidanganyane hapa kwamba hatukutoa maelezo!

Na huo ni uongo ule mpira ulikua unakwenda golini na red card ni sahihi kabisa kwa Ox kwasababu huwezi zuia mpira km unakwenda golini kwa mkono! Kumbuka mechi ya Uruguay na Ghana SA Suarez ilikuaje?alipewa Kadi nyekundu! Au ktk Hilo mnajitoa ufahamu kwasababu ni Chelsea? Mnazidisha mahaba? Teh Teh Teh Teh

Ntuzu acha Ushabiki...

ule mpira wa alioycheza Suarez ni tofaut kabisa na wa AOX..

Wa AOX ulikuwa haulekei golini!!!!!!, mpira ulikuwa unatoka nje ule..wote tuliona hilo!!!
 
hahahahahahah!!!!!

RRONDO bhana...

Aya bhana kaka...saa 8 hyooo..haiko mbali saaana!!!

unajua huu ubingwa akichukua MAN CITY pale mjini na mitaa ya moss side hatutalala....akichukua LIVERPOOL wataanza kelele ooh historia imeanza kujiandika blah blah blah na wakati huo huo akichukua chelsea kelele za Ntuzu agosti 8 na kocha wao Mourinho jf inakuwa haikaliki yaani taabu tupu labda wachukue everton!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahah!!!!!

RRONDO bhana...

Aya bhana kaka...saa 8 hyooo..haiko mbali saaana!!!

Teh Teh Teh Teh

Bahati mbaya sitoutizama huo mpira Lkn ntaufatilia kupitia hapa JF na Zaidi usiku saa5 ivi tutajadili mengi!
 
Hakuna tukio lisilo na majibu!

Fatilia maneno ya Jose dhidi ya Ox na Gibbs!

Ata spurs na Swansea city! Kwahiyo msidanganyane hapa kwamba hatukutoa maelezo!

Na huo ni uongo ule mpira ulikua unakwenda golini na red card ni sahihi kabisa kwa Ox kwasababu huwezi zuia mpira km unakwenda golini kwa mkono! Kumbuka mechi ya Uruguay na Ghana SA Suarez ilikuaje?alipewa Kadi nyekundu! Au ktk Hilo mnajitoa ufahamu kwasababu ni Chelsea? Mnazidisha mahaba? Teh Teh Teh Teh

with all due respect Ntuzu that ball was going wide!!!! but it was hard for the referee to see that..for once be fair........

Last edited by a moderator:
Mmekomeshwa nyie maamuma. Nasema mpigwe tu, muendelee kupigwa, tumechoka. Na jumanne mpigwe tu, tumechoka. Chezea Fabio Borini, amemgeuza Moureen cry baby

Nafuu Leo umekuja Vzr Mkuu! Hongera kwa Hilo!

Pamoja sn Mkuu! Ila hiyo j4 Ndio usahau kabisa! Na nitakuwepo hapa 24 hrs!
 
Ntuzu acha Ushabiki...

ule mpira wa alioycheza Suarez ni tofaut kabisa na wa AOX..

Wa AOX ulikuwa haulekei golini!!!!!!, mpira ulikuwa unatoka nje ule..wote tuliona hilo!!!

man MOS DEF uyu jamaa komaa nae kishabik kama yeye anavotaka usiumize kichwa...MWACHENI ALIE ATOE UCHUNGU AKINYAMAZA NDO TUONGEE VIZURI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom