Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntuzu acha Ushabiki...

ule mpira wa alioycheza Suarez ni tofaut kabisa na wa AOX..

Wa AOX ulikuwa haulekei golini!!!!!!, mpira ulikuwa unatoka nje ule..wote tuliona hilo!!!

Muamba ngoma! Alafu sheria hazuruhusu kuzuia mpira au kucheza mpira kwa mikono ata km unaelekea wp!

Punguzeni mahaba! Oax anabahati tu!
 
with all due respect Ntuzu that ball was going wide!!!! but it was hard for the referee to see that..for once be fair........

Teh Teh Teh Teh

Kikubwa Oax alicheza kwa mkono Alafu ndani ya box na alikua mtu Wa mwisho! Hapo sheria zinasemaje kiukweli? Teh Teh Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
unajua huu ubingwa akichukua MAN CITY pale mjini na mitaa ya moss side hatutalala....akichukua LIVERPOOL wataanza kelele ooh historia imeanza kujiandika blah blah blah na wakati huo huo akichukua chelsea kelele za Ntuzu agosti 8 na kocha wao Mourinho jf inakuwa haikaliki yaani taabu tupu labda wachukue everton!!!

Hahahah...

Ni kweli aisee, kwako wewe bora ashinde Kombe Everton tu..manke kote huko kutatu HAUTOPUMUA..

hahahahaha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Muamba ngoma! Alafu sheria hazuruhusu kuzuia mpira au kucheza mpira kwa mikono ata km unaelekea wp!

Punguzeni mahaba! Oax anabahati tu!

uko sahihi LAKINI ukiwa mpira UNAELEKEA KUINGIA GOLINI[HAMNA KIPA ANAESHIKA ANAUZUIA USIINGIE GOLINI] NI RED CARD.....kama mpira huo hauelekei golini ni YELLOW CARD ukishika makusudi.
 
Nafuu Leo umekuja Vzr Mkuu! Hongera kwa Hilo!

Pamoja sn Mkuu! Ila hiyo j4 Ndio usahau kabisa! Na nitakuwepo hapa 24 hrs!

Nyie maneno mengi mkipigwa dunia nzima inafurahia maana kuanzia kocha hadi mashabiki ni bad losers. Kumbuka kipigo Anfield kiko pale pale na Jumanne mnakutana na master tactician Diego Someone ni mubaya mno. Tunafurahi Sana mkipigwa maana vuvuzela lenu linajaa mate halilii.
 
man MOS DEF uyu jamaa komaa nae kishabik kama yeye anavotaka usiumize kichwa...MWACHENI ALIE ATOE UCHUNGU AKINYAMAZA NDO TUONGEE VIZURI

Huo UCHUNGU hauwez kupoa leo wa kesho..coz J4 hatoki kwa ATM, afu baada ya hapo anakuja ANFIELD, unafikiri uchungu utaisha lini????
 
Teh Teh Teh

Mkuu hapa ni niko kwatuu! Kwasababu hujuma nazifahamu!

Wala sina machungu! Hapa naanza safari ya kwa ATM!
 
uko sahihi LAKINI ukiwa mpira UNAELEKEA KUINGIA GOLINI[HAMNA KIPA ANAESHIKA ANAUZUIA USIINGIE GOLINI] NI RED CARD.....kama mpira huo hauelekei golini ni YELLOW CARD ukishika makusudi.

Kwenye sheria za soka inaitwa "denying a goal scoring opportunity" ni red card. Kama mpira hauendi golini ni faulo ya kawaida katika category ya "reckless challenge" adhabu yake ni kadi ya njano. Ile ya Suarez dhidi ya Ghana ilikuwa category ya kwanza hapo na ya AOX ilikuwa category ya pili hapo but ilikuwa vigumu Sana kwa refa kufanya uamuzi kama sisi tulioona replay.
 
Ukweli ni kwamba ule mpira Hazard aliupiga kwa ufundi sn na kumtesa kipa! Ule mpira ungeweza kugonga mwamba Wa pembeni na si nje km mnavyodai!

Kwahiyo ktk hilo red card ni sahihi! Angalia replay ata YouTube Uone tena hiyo kitu!
 
Nyie maneno mengi mkipigwa dunia nzima inafurahia maana kuanzia kocha hadi mashabiki ni bad losers. Kumbuka kipigo Anfield kiko pale pale na Jumanne mnakutana na master tactician Diego Someone ni mubaya mno. Tunafurahi Sana mkipigwa maana vuvuzela lenu linajaa mate halilii.

ATM itakufa Madrid j4!

Kaa hapa usubiri!

Na uzuri Mimi Sio km kina Sizinga na Katavi siku mafuriko yakifika wanakimbia mpk ghala Yao ya silaha! Teh Teh Teh Teh

Mpira bhana! Raha sn!
 
Last edited by a moderator:
Ushabiki mahaba huu!

Teh Teh Teh Teh

Hongera sn Mkuu! Nimependa sn Leo unavyotoa maelezo!

Thumb up! D D D D

Kwenye sheria za soka inaitwa "denying a goal scoring opportunity" ni red card. Kama mpira hauendi golini ni faulo ya kawaida katika category ya "reckless challenge" adhabu yake ni kadi ya njano. Ile ya Suarez dhidi ya Ghana ilikuwa category ya kwanza hapo na ya AOX ilikuwa category ya pili hapo but ilikuwa vigumu Sana kwa refa kufanya uamuzi kama sisi tulioona replay.
 
Huo UCHUNGU hauwez kupoa leo wa kesho..coz J4 hatoki kwa ATM, afu baada ya hapo anakuja ANFIELD, unafikiri uchungu utaisha lini????

teh teh teh...jamaa kachanganyikiwa kinyama yaan analia lia tu humu mara fitina oooh mike dean saiv kaamia kwa gemu yao na asernal, ad kufika j4 tutakua tushampoteza ndugu yetu
 
Khe Khe Khe Khe

Nani analia weye kijana? Mi si mgeni Wa mpira! Mi sijaanza shabikia mpira Leo Mkuu!

Ktk game allways kuna matokeo tofauti! Na km you real know what football game is, you should be ready for any result! Teh Teh Teh Teh

Ingawa ktk timu yetu Sisi Ushindi lazima Ndio maana kupoteza Kwetu game imekua GUMZOOOO! Mike Dean Hongera! Teh Teh Teh!
 
Chelsea HACHUKUI kombe lolote lile msimu huu!!!
 
Khe Khe Khe Khe

Nani analia weye kijana? Mi si mgeni Wa mpira! Mi sijaanza shabikia mpira Leo Mkuu!

Ktk game allways kuna matokeo tofauti! Na km you real know what football game is, you should be ready for any result! Teh Teh Teh Teh

Ingawa ktk timu yetu Sisi Ushindi lazima Ndio maana kupoteza Kwetu game imekua GUMZOOOO! Mike Dean Hongera! Teh Teh Teh!

Unavyolalamika kwamba Umefanyiwa FITINA, hiyo ni ishara tosha kuwa UnaLiaLia!!!!!!
 
Teh Teh Teh Teh

Wakuu niwaache kidogo tutakutana Vzr usiku Lkn kwa mchana huu ntakua nabeep tu!

Asanteni sn wacha Mimi niendelee na mambo yng!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom