Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ntuzu
Kwanza ligi ya safari hii ni ngumu, pili refa hakuwa mbaya kama unavyotaka kusema kwani alikuwa na uwezo wa kumtowa Ramires lakini aliminya na sijuwi ataandika nini kwenye repoti yake vyenginevyo akisema hakuiona basi FA watamfungia Ramires,
Tatu na muhimu unasema hukuiona gemu ya leo vipi unafanya conclusion ya refa wakati hukuiona gemu au ulisikilza radio?
NNe Jose anaweza kufungiwa kutokana na matamshi aliyotowa baada ya gemu
Muhimu wewe kubali gemu haikuwa yenu kubali kushindwa ingawa hutokosa sababu
Mkuu ni kweli game sikuiona Lkn nimesoma habari na match report baada ya game na maelezo ya Jose baada ya game na vyanzo vingine Ndio maana nasema hivyo!
Vilevile Jose ata km akifungiwa au kupewa adhabu watakua wanamuonea kwani amekosea kitu gani kwa kumshukuru Mike Dean na kumpongeza kwa kuiset ligi vizuri?
Mi nazifahamu hujuma za waingereza dhidi ya Jose tangu alipokuawepo Mara ya kwanza na mpk sasa!
Wewe huoni siku Hizi Fc Barcelona inavyopigwa? Inapigwa kwasababu hawaibebi km zamani! Lkn Enzi Hizo ilikuaje? Ata kwa LFC ilikua hivyo na sasa Ndio dhamira Yao ilivyo!