epl ndo ligi bora kabisa ya soka ktk sayari ya dunia
ngapi ngapi
Usiseme hivyo mkuu. Msimu huu ni surprises week in week out.Chelsea kwisha habari yake, daraja limeenda na mafuriko
baba kev, mosDef ndendeni zetuni kwetu daraja kushnei
Mentor upo?Na hata psychology ya wachezaji wenu iko hivyohivyo, mnakamia match kubwa halafu mtafungwa na Cardiff City?
Nahisi bado kuna twist and turns kwenye kinyang'anyiro hiki, subirieni mpaka mechi mbili za mwisho kujua hatma yenu.
Kumbuka Man City are not out yet
ngapi ngapi