Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maskini leo ndiyo mbio zao za ubingwa wa EPL zimezimwa kwa style ya aibu sana!Mechi 77 za kutopoteza mechezo Darajani zimeisha leo!
Liverpool ni mabingwa wajao
 
Usiseme hivyo mkuu. Msimu huu ni surprises week in week out.
Naamini LFC hawezi kushinda mechi zote zilizobaki.
Ngoma bado hii

mkuu,mimi ni man utd lakini nilishasema timu inayoshinda game 10 mfululizo kipindi hiki cha january-may ndio huwa bingwa...hivyo ndio man utd alikuwa anafanya...sio chelsea unamfunga arsenal 6-0 mechi inayofuata unafungwa na c.palace unashinda kiajajbuajabu mechi inayofuata halafu unafungwa tena na washukao daraja!!!! halafu kuna watu wanapiga kelele hapa eti wana timu ya ubingwa!!!! Liverpool wako on fire,mwaka wao huu.....na kesho wanacheza na norwich ambao mechi tatu zilizopita wamewafunga si chini ya tano kila mechi!!!!
 
Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa
 
Maskini leo ndiyo mbio zao za ubingwa wa EPL zimezimwa kwa style ya aibu sana!Mechi 77 za kutopoteza mechezo Darajani zimeisha leo!
Liverpool ni mabingwa wajao
Mkuu mimi siamini kama LFC atashinda mechi zote 4.
Lolote laweza kutokea. Akitoa draw kesho basi City ni bingwa
 
Mpira wa uingereza hautakaa ukue kwa ajili ya maamuzi mabovu na,ya kisemge ya marefa

Aisee Wenger akilalamika mnachonga!! Na kocha wenu MOU-REEN ndio namba moja kumponda Wenger eti analalamika sana.
MOU pia ni Special in Failure
 
Piere. Fm njoo huku ujjionee mwenyewe, the guy Ntuzu kakimbiiiiiiiia. Halafu kesho kesho tukimwambia eti anajifanya Oooh mi nilikuwepo sana wakati leo hata excuse hana, kapotea akiona jahazi/daraja linazama.
 
Last edited by a moderator:
Gus Poyet aka la Radio akiitwa enzi hizo akiwa Chelsea, sababu ya kuongea sana, naona anataka ku survive by a whisker. mie Chelsea sijakata tamaa najua Liverpool hawatashinda mechi zote.Ikitokea LFC wamechukua ubingwa i ''ll be happy for Steven Gerrad. for 24 yrs ANAKIPIGA Anfield, ana deserve a consolation prize kwa kweli, nayo ni premier league tittle, astaafu kwa amani.
 
Kumbuka Liverpool 1 - 4 Chelsea Fc (ANFIELD) 2006. Uwe mwangalifu sana wakati huu ambao tunanusa harufu ya ubingwa;

Wewe cheka tu kesho sasa ndo utajua ugumu wa kuwa bingwa; maana NORWICH CITY watakuumiza vibaya.

Sunderland itakuwa timu ya kwanza kushuka daraja kesho. Subirini uone..Gus Poyet mchezaji wetu wa zamani namhurumia; acha tumshushe daraja alaf tumpe kazi kwenye timu ya wechezaji wa akiba kama tulivyomfunza ukocha BRENDAN RODGERS. 2004.

eeerrr no!!! bado wako hai.
 
Mourinyo ... .. ''congratulations to Riley, Mike Dean and all the referees decision'' ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mike Dean anataka kwenda kuchezesha world cup ... ..... .... . .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
kama vile Chelsea vs WBA darajani refa aliharibu mechi.Nakubaliana na wewe kwa hili

Hahaaa pole, maandishi yako haayawezi kubadilisha matokeo, pole sana!! Chelsea alibebwa sana ile mechi ya WBA hadi akadraw ya magumashi...hahaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom