Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread




CHELSEA FC TIMU BORA KULIKO LIVERPOOL KWA MIAKA 20 ILIYOPITA:

FACTS:

1. UEFA EUROPA LEAGUE = 2013.
2. UEFA CHAMPIONS LEAGUE =2012.
3. CUP WINNERS CUP = 1998.
4. SUPER CUP =1998.
5. PREMIER LEAGUE = 2005.
6. PREMIER LEAGUE = 2006.
7. PREMIER LEAGUE = 2010.
8. FA = 2012.
9. FA = 2010.
10. FA = 2009.
11. FA = 2007.
12. FA = 2000.
13. FA = 1997.
14. League Cup(capitol one cup) = 2007.
15. League Cup(capitol one cup) = 2005.
16. League Cup (capitol one cup) = 1998.
17. Community Shield = 2003.
18. Community Shield = 2005.
19. Community Shield = 2000.

jamaa mkuu mos def kakupa fact kule nyumban liver kuhusu uhuo ubora wa miaka 20 lakin naona huelewi..tatizo jamaa umeweka mahaba mbele sn na timu ad huutak ukwel.
 
Mbona kama Terry amejifunga tena? Ntuzu umeonaje pale?
 
Last edited by a moderator:
Jamani tupo sana... Ntuzu njoo huku naona kuna watu tayari wameanza kelele
 
Last edited by a moderator:
Duh! Mimi uwa siwaelewi wanaosema ligi ya Uingereza ni mbovu; eti La Liga ndiyo bora!

Haya yanayoendelea Darajani; ni nadra kutokea katika ligi zingine za Ulaya. Timu inayoshika mkia katika msimamo wa ligi, inaelekea kuikazia timu iliyo katika mbio za ubingwa. Tena baada ya kuibania timu nyingine iliyo katika mbio za ubingwa juma lililopita!!
 
Naona Chelsea wameshachukuwa staili ya Barca ya kujiangusha angusha kwa kila minimal contact karibu na eneo la hatari... Sunderland wakikosa hii penati na kuwafunga Chelsea hawatasahili hata penny
 
Come on Sunderland... mnatakiwa kuvunja rekodi ya Chelsea at bridge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom