Mkuu wamepigwa 2 -1
Ndo hasara za Mind games hizo...anavuliwa nguo hadharaniMaureen haamini! Anaumia nini sasa, wakati alicheza mind games za kusema eti yeye hapiganii kombe mwaka huu, bali anaandaa timu ya ushindi mwakani!!
Sasa atulie, dawa imuingie vizuri...
Matokeo jamani
Matokeo jamani
Duh! Mimi uwa siwaelewi wanaosema ligi ya Uingereza ni mbovu; eti La Liga ndiyo bora!
Haya yanayoendelea Darajani; ni nadra kutokea katika ligi zingine za Ulaya. Timu inayoshika mkia katika msimamo wa ligi, inaelekea kuikazia timu iliyo katika mbio za ubingwa. Tena baada ya kuibania timu nyingine iliyo katika mbio za ubingwa juma lililopita!!
subirini muone jinsi Mourinho atakavyolalama. Huwa mnamsema sana Wenger akilalamika jinsi marefa wanavyoharibu mechi.
Nguvu unayotumia kubisha ndo nguvu itakayotumika kukusumbua baada ya kukufunga pale kwako tarehe 27.
Jifunze kutoka kwa wenzako kina SIZINGA(arsenal), NDETICHIA(man city), RRONDO(psg)..walibisha kama unavyobisha..
SIMBA WA BLUE akawang'ata wametulia kimyaaa!!
Mkuu Sizinga alikuwa kutwa kucha anashinda kwenye jukwaa letu humu; lakin siku hizi ametulia kwake ARSENAL wazee wa 'kikombe cha chai' na #4.
uwe mwangalifu; jiulize kwa nini miaka 24 mmeishi bila kombe? Ukipata jibu toka tupambane tarehe 27.
nakuakikishia kwa maneno yako kesho utanikabidh mwenyewe ubingwa nakwambia kabla ata tar 27 uyo simba wa blue ajapakatwa na jogoo..take ma word
Hapa liverpool hawakamatiki tena ila wanastahili kwa kweli.
Kumbuka Liverpool 1 - 4 Chelsea Fc (ANFIELD) 2006. Uwe mwangalifu sana wakati huu ambao tunanusa harufu ya ubingwa;
Wewe cheka tu kesho sasa ndo utajua ugumu wa kuwa bingwa; maana NORWICH CITY watakuumiza vibaya.
Sunderland itakuwa timu ya kwanza kushuka daraja kesho. Subirini uone..Gus Poyet mchezaji wetu wa zamani namhurumia; acha tumshushe daraja alaf tumpe kazi kwenye timu ya wechezaji wa akiba kama tulivyomfunza ukocha BRENDAN RODGERS. 2004.