Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Penalty to Sunderland!!! Can you believe it?!?

Maureen anajichekesha eti!!!

Borini, a former Loserfools boy, giving Sunderland the lead.

Naona assistant coach wa Maureen anataka kurusha masumbwi!!!
 
Huyu Mannone ni balaa, nakumbuka alitubania sana United kwenye games za COC...
 
Still chelsea wanaweza kusawazisha na kushinda dk nyingi zimebaki.
 
Duh! Mimi uwa siwaelewi wanaosema ligi ya Uingereza ni mbovu; eti La Liga ndiyo bora!

Haya yanayoendelea Darajani; ni nadra kutokea katika ligi zingine za Ulaya. Timu inayoshika mkia katika msimamo wa ligi, inaelekea kuikazia timu iliyo katika mbio za ubingwa. Tena baada ya kuibania timu nyingine iliyo katika mbio za ubingwa juma lililopita!!

mgambo na yanga
 
Duh! Yaani Sunderland ndio wanataka kuvunja daraja?!?

Shitty, Loserfools, United, Goons n.k. walishindwa!!

Shikamoo #EPL
 
Duh! Mimi uwa siwaelewi wanaosema ligi ya Uingereza ni mbovu; eti La Liga ndiyo bora!

Haya yanayoendelea Darajani; ni nadra kutokea katika ligi zingine za Ulaya. Timu inayoshika mkia katika msimamo wa ligi, inaelekea kuikazia timu iliyo katika mbio za ubingwa. Tena baada ya kuibania timu nyingine iliyo katika mbio za ubingwa juma lililopita!!

Leo utamu tu...!
 
This is not good for Liverpool. Watacheza under pressure. I wish darajani mtoe japo draw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom