Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watu wamekula mkono na wamejikausha kama sio wao. ..

Eti second leg comeback.... kwa ile forward yenu ya kina delap ? Mna beki ya kuwazuia kina Dembele na kvara?
 
Chelsea vs Newcastle
Predicted lineup
3-4-2-1

--Joao Pedro--

Garnacho --- Enzo----- Palmer

--Caicedo ----Santos---

Cucurella--Chalobah--Fofana — Gusto

--Sánchez--

Bench
1. Jorgensen
2. Josh Acheampong
3. Tosin Adarabioyo
4. Benoît Badiashile
4. Mamadou Sarr
5. Jorrel Hato
7. Roméo Lavia
8. Pedro Neto
9. Liam Delap

#PSG | #CFCNEW
 
Ila Mkohoti. Sawa sisi dhaifu kwenu

Walk the talk sasa, leta h2h mechi 10 za mwisho sisi vs ninyi
H2h kwa timu inayofungwa hata na Leeds haiondoi udhaifu wenu. Endeleeni kujifariji na hizo set piece kuwa mna timu.
 
Chelsea vs Newcastle
Predicted lineup
3-4-2-1

--Joao Pedro--

Garnacho --- Enzo----- Palmer

--Caicedo ----Santos---

Cucurella--Chalobah--Fofana — Gusto

--Sánchez--

Bench
1. Jorgensen
2. Josh Acheampong
3. Tosin Adarabioyo
4. Benoît Badiashile
4. Mamadou Sarr
5. Jorrel Hato
7. Roméo Lavia
8. Pedro Neto
9. Liam Delap

#PSG | #CFCNEW
EPL
Chelsea vs Newcastle
3-4-2-1

--Joao Pedro--

Garnacho --- Enzo----- Palmer

--Caicedo ----James (C)---

Cucurella--Chalobah--Fofana — Gusto

--Sánchez--

Bench
1. Sharman-Lowe
2. Benoît Badiashile
3. Tosin Adarabioyo
4. Mamadou Sarr
5. Jorrel Hato
6. Roméo Lavia
7. Andrey Santos
8. Liam Delap
9. Marc Guiu

#PSG | #CFCNEW
#ChelseaFC
 
Nadhani Trevoh Chalobah ndiye aliyemfanya Willock aonekane yuko onside. Wesley Fofana hakuwa na haraka yoyote hadi James alipokimbia kujaribu kuokoa lile bao la aibu kutokea kwenye kiungo. Hii inaonyesha kabisa tuna mabeki average Chelsea.
 
Kocha huyu hana tofauti na Pochettino kwenye kupanga safu ya ulinzi. Hawa hawa mabeki walimpa Maresca clean sheets nyingi, lakini kwa Rosenior ulinzi umetoboka kila mahali bila kujali ni pair gani anayotumia. Pairing ya Fofana na Chalobah ilikuwa inatupa clean sheet chini ya Maresca, lakini sasa Rosenior ni kama Pochettino v2.0 — tofauti pekee ni kwamba yeye anaongea kupita kiasi.
 
Hapana pochettino ni better than Rosenior in term of tactical kama unakumbuka mechi 7 za mwisho alipata ile team tunaohitaji tuliruhusu goal chache sana na hata kwenye game kubwa alikuwa anapata matokeo mazuri japo hakuwa na resources kama aliyonayo Rosenior
 
Focus yangu ilikuwa kwenye kuisuka dfence. Maresca pamoaj na kuwa alilalamika kuhusu kupewa defender mbadala wa Colwill lakini aliweza kupata something kutoka kwa Fofana na Chalobah. Huyu Rosenior naona pairing hii iliyokuwa inatupa nafuu ndio sasa imeharibika kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom