Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,353
- 77,166
Kuna kile kipindi unakua unaamini timu yako ni nzuri ila inakudhalilisha kila ikiwa uwanjani.
Timu iliyotoka kupigwa 5. Inafungwa goli la mapema 1 na hakuna dalili ya goli kurudi.
Hapohapo kocha anaongea kuliko vitendo.
Mashabiki wako deluded. Ni shabiki mmoja tu ameaddress ishu ya ukweli. Lembu anaendelea kuiuliza chatgpt nini cha kuandika.
Dark times ahead