Huyu kipa ni mzenge bora Sanchez aisee, tokea 1st half alishaonyesha atachoma.Hivi ni kwenye mkataba wa mauziano na wamarekani ni lazima kipa asubirie press ndio apige pass kwa central midfielder
Hamna timu inayoweza kusimama mbele ya Leeds United,achilia mbali PSGJamaa wametubagaza na kutubananga kwao
Kafa ngapi Mzee Baba😂Leo PSG anakufa.
Na bado haujasema blaza😂Kipa ametuua, sikujua kama huyu jamaa ndio mpuuzi hv