Hata katika safari ya kwenda Kanaani, kati ya makabila yote 12 ya Israeli, ni Yoshua wa kabila la Efraimu na Kalebu wa kabila la Yuda pekee ndio waliobaki na imani kwamba wanaweza kuuteka ule mji ikiwa Bwana atapenda.
Wapelelezi wengine 10 kutoka makabila mengine walipoteza imani kabisa, wakarudi na visingizio—wakisema nchi ile ‘hula watu wake,’ na kwamba wenyeji ni majitu, na wao kwao ni kama sisimizi.
Sisi sio sisimizi kwa PSG, tutawapiga 3 au 4 na watarudi kusimulia. James kasema yale matokeo ni ya Half time tu