Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndg, tukipata Conference league tutashukuru sana kwa sababu tutabeba kikombe. Cha kushangaza hata hiyo Conference tunaweza kuikosa
Usijikatie tamaa mastA, lolote linawezekana EpL ni ngumu mno .......... katimu kapo mkiani kamaweza kumshikisha adabu muongoza ligi.... ndio maana ni ligi bora ulimwenguni
 
BREAKING NEWS:
Chelsea imepigwa ban ya kusajili na kuandikisha wachezaji wa Timu ya kwanza kwa mwaka mmoja halafu ikafanyiwa suspension. Sijawahi kuiona adhabu ya jinsi hiij lakini ngoja nijaribu kuielezea.

Kimsingi Ligi Kuu Ya Uingereza imeipa Chelsea adhabu ya kutosajili wachezaji kwa mwaka mmoja halafu hiyo adhabu ikahairishwa hadi Machi 2028 kwa masharti yafuatayo:
  1. Adhabu imesitishwa kwa miaka 2 hadi takriban Machi 2028.
  2. Chelsea inaweza kusajili wachezaji wapya kawaida ndani ya miaka hiyo 2.
  3. Kifungo cha mwaka 1 kitaanza tu ikiwa Chelsea itafanya makosa mengine ndani ya kipindi hicho.
  4. Makosa yanayohusika ni ya ukaguzi wa fedha, uwekezaji wa watu wa tatu, na maendeleo ya vijana (kutoka malipo yasiyoripotiwa 2011–2018).
  5. Hii ni tofauti na kifungo cha miezi 9 cha usajili wa akademi, ambacho kinaendelea hadi takriban Desemba 2026.
Uhamisho wa Abramovivh wa kuanzia 2011 - 2018 ulihusisha uhamisho wa Eden Hazard, David Luiz, Andre Schurrle, Ramires, Matic, Willian, Eto'o nk.

1773670652345.png
 
Miracles happen — and when they do, mambo yanakuwa hivi.

Chelsea vs PSG – Second Leg at Stamford Bridge

00' – Kick‑off
20' – João Pedro scores → Chelsea 1–0 PSG
23' – Rúben Neves sent off (red card)
24' – Cole Palmer converts a penalty → Chelsea 2–0 PSG
44+2' – João Pedro strikes again in added time of first half→ Chelsea 3–0 PSG

45' – Half‑time

50' – Dembélé pulls one back → Chelsea 3–1 PSG
55' – Enzo restores the three lead → Chelsea 4–1 PSG
56' – Cucurella booked (yellow card)
74' – Andrey Santos finishes it → Chelsea 5–1 PSG
87' – Kvaratskhelia hits the post
90+7' – Full‑time → Chelsea 5–1 PSG

Aggregate: Chelsea 7–6 PSG

Chelsea march into the quarter‑finals against Liverpool.
 
Miracles happen — and when they do, mambo yanakuwa hivi.

Chelsea vs PSG – Second Leg at Stamford Bridge

00' – Kick‑off
20' – João Pedro scores → Chelsea 1–0 PSG
23' – Rúben Neves sent off (red card)
24' – Cole Palmer converts a penalty → Chelsea 2–0 PSG
44+2' – João Pedro strikes again in added time of first half→ Chelsea 3–0 PSG

45' – Half‑time

50' – Dembélé pulls one back → Chelsea 3–1 PSG
55' – Enzo restores the three lead → Chelsea 4–1 PSG
56' – Cucurella booked (yellow card)
74' – Andrey Santos finishes it → Chelsea 5–1 PSG
87' – Kvaratskhelia hits the post
90+7' – Full‑time → Chelsea 5–1 PSG

Aggregate: Chelsea 7–6 PSG

Chelsea march into the quarter‑finals against Liverpool.
Cringy as fvck
 
UCL Round of 16 Second Leg
Chelsea vs PSG
Predicted lineup
3-4-2-1

--Joao Pedro--

Garnacho --- Enzo----- Palmer

--Santos ---- Caicedo---

Cucurella--Chalobah--Fofana — Gusto (if fit) or Caicedo and Lavia in the CM

--Sanchez--

Bench
1. Max Merrick
2. Jorrel Hato
3. Josh Acheampong
4. Tosin Adarabioyo
5. Benoît Badiashile
6. Mamadou Sarr
7. Reggie Walsh
8. Lavia
9. Estevão Willian
10. Pedro Neto
11. Liam Delap
12. Marc Guiu

#PSG | #CFC
 
Rosenior naona amekuja na yale majeruhi ya Pochettino, tayari kashasababisha Hamstring kama nne au tano hivi ndani ya mwezi na nusu. Pia katika kipindi hicho Caicedo ameshindwa kufanya vizuri. Sidhani kama Huyu kopcha atakuwepo next season.
Mtamfukuza tu na huyu mawani....nilisema🤠🤠🤠
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom