Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kama ww ni mdau wa mpira na unaujua mpira huwezi kusema caicedo ni garasa..
Kumbe hujui ugalasa wake ulianzia hapa😂😂😂😂
Screenshot_20251005_174743_Firefox.jpg
 
Timu za Uingereza Bana, yani timu sita hakuna hata moja iliyoshinda...Timu ambazo unaweza kusema zina nafasi kusonga mbele kwenye makaratasi ni timu mbili Tu ambazo ni Liverpool na Arsenal, nahisi Newcastle, Man City, Chelsea kuna mmoja anaweza kufanya comeback hapa na mechi kuamuliwa na Extra time au matuta....
 
Rosemary jana UCL imemuexpose uwezo wake kama kocha kaja na mbinu nzuri mwanzoni ila uwezo wa kusoma mchezo ndani ya mchezo ndio umemuexpose

Yule kipara mwenda zake mechi kama hii alikuwa anawabamiza tena
hawa PSG
Game management na playing style inayoendana na resource bado ni mtihani kwa kocha na SD

Playing from back kwa kipa na mabeki wasio na uwezo wa kucarry mpira ni red flag kwa kocha lazima mmoja ampishe mwenzake
Mechi ilikuwa nzuri kwa Chelsea, kama kuna kosa kumuweka Jorgensen golini
 
Muondoe THE BLUES hapo hawezi fanya come back. Ameshatolewa
Chelsea na Rosenior watawashangaza sana, tusubiri tuone.
Naona hapa kuna come back kama moja au mbili
  1. Tottenham Hotspur 2-5
  2. Chelsea 2-5
  3. Man City 0-3
Aidha mji wa Manchester au London wiki ijayo tutegemee comeback kama ile ya:
  1. Liverpool 4–0 Barcelona (2019)
  2. Chelsea vs Napoli (2012)
 
Sio kwa THE BLUES hii iliyojaa Mazagazaga na malapulapu. Hakuna cha come back zaidi tutafungwa tena sio chini ya goli 2
Chelsea itafunga sio chini ya goli mbili. Najua PSG watakuja kulind hayo magoli na wakiruhusu 2 nma la 3 na 4 litaingia pia. PSG hakuna timu pale ni ubovu wa kipa ndio ulituangusha kwa sehemu kubwa kuliko hata defence
 
Timu za Uingereza Bana, yani timu sita hakuna hata moja iliyoshinda...Timu ambazo unaweza kusema zina nafasi kusonga mbele kwenye makaratasi ni timu mbili Tu ambazo ni Liverpool na Arsenal, nahisi Newcastle, Man City, Chelsea kuna mmoja anaweza kufanya comeback hapa na mechi kuamuliwa na Extra time au matuta....
Wachambuzi wanasema na Mimi sehemu nyingine nakubaliana nao, Mpira Uingereza kupata magoli umekuwa over reliance on set pieces, sijui Kona au long throw nk ndo wapate magoli, sasa majuzi km uliona mechi arsenal na Leverkusen, ht Newcastle na Barcelona, Liverpool na Galatasaray kdgo pia, mara nyingi marefarii walkuwa wanaingilia kuzuia zile staili za uhuni za kona Uingereza, na ht timu pinzani pia zilijitahd hizo timu za Uingereza zipate Kona chche au zisipate kabisa...
Pia Wanadai Ratiba ngumu za Uingereza, physical games za Uingereza nk nk...
Sema hii itakuwa rekodi mpya Kwa Uingereza kwamba timu zote 4-6 za Epl kutokupata Ushindi kwenye hatua 16 Bora ya mtoano.
 
Sema hii itakuwa rekodi mpya Kwa Uingereza kwamba timu zote 4-6 za Epl kutokupata Ushindi kwenye hatua 16 Bora ya mtoano first leg, ngoja Tusubiri mechi za marudiano, ila Newcastle Ali deserve Ushindi, mwanzo mwisho aliishika mechi vipindi vichache sana Barca ndo alkuwa tishio, na ht goli lenyewe, refa hakumaliza Mpira Kwa wakati dk94...
 
Timu za Uingereza Bana, yani timu sita hakuna hata moja iliyoshinda...Timu ambazo unaweza kusema zina nafasi kusonga mbele kwenye makaratasi ni timu mbili Tu ambazo ni Liverpool na Arsenal, nahisi Newcastle, Man City, Chelsea kuna mmoja anaweza kufanya comeback hapa na mechi kuamuliwa na Extra time au matuta....
Timu za Uingereza ni nzuri na at this stage wanakamiwa sana, second leg ndio itaonyesha kwa sababu huwezi kukamia mechi zote.
Timu za Uingereza zina pochi nzito kwa hiyo hao wachezaji wa timu ndogo wanajiuza kwa kujitoa kucheza vizuri ili waonekane
 
Wachambuzi wanasema na Mimi sehemu nyingine nakubaliana nao, Mpira Uingereza kupata magoli umekuwa over reliance on set pieces, sijui Kona au long throw nk ndo wapate magoli, sasa majuzi km uliona mechi arsenal na Leverkusen, ht Newcastle na Barcelona, Liverpool na Galatasaray kdgo pia, mara nyingi marefarii walkuwa wanaingilia kuzuia zile staili za uhuni za kona Uingereza, na ht timu pinzani pia zilijitahd hizo timu za Uingereza zipate Kona chche au zisipate kabisa...
Pia Wanadai Ratiba ngumu za Uingereza, physical games za Uingereza nk nk...
Sema hii itakuwa rekodi mpya Kwa Uingereza kwamba timu zote 4-6 za Epl kutokupata Ushindi kwenye hatua 16 Bora ya mtoano.
Ukiondoa Newcastle, timu zote tano zilizheza ugenini na zilikamiwa sana, Naamini ni timu mbili tu zitashindwa kusonga mbele
  1. I doubt Newcastle unless miracles happen
  2. I doubt Spurs unless miracle happens
  3. Chelsea walifanya kwa Napoli na tuntafanya tena kwa PSG
  4. Man City watalipa madeni yote ya magoli matatu, wana timu na kocha mwenye uwezi
  5. Liverpool wao wakishindwa kulipa goli moja na kuweka la pili au zaidi basi tena
  6. Arsenal wao wamejitengenezea mteremko
 
Chelsea itafunga sio chini ya goli mbili. Najua PSG watakuja kulind hayo magoli na wakiruhusu 2 nma la 3 na 4 litaingia pia. PSG hakuna timu pale ni ubovu wa kipa ndio ulituangusha kwa sehemu kubwa kuliko hata defence
lembu tangu lini Chelsea ikaifunga timu ambayo inapaki bus , tukicheza na wakina Leeds au Burnley wakipaki bus tuuh basi mechi yetu imeishia hapo, ndo tutaweza kumfunga psg akipaki bus
 
Chelsea itafunga sio chini ya goli mbili. Najua PSG watakuja kulind hayo magoli na wakiruhusu 2 nma la 3 na 4 litaingia pia. PSG hakuna timu pale ni ubovu wa kipa ndio ulituangusha kwa sehemu kubwa kuliko hata defence
Ni kweli PSG mbovu lakini je vipi Chelsea ya Rosenior dhidi ya team kubwa? Hivi niambie mpira gani Arsenal walituzidi kiasi tufungwe tupoteze pale Emirates? Na vipi suala letu la defense PSG wanaweza wakawa wabovu lakini Wana baadhi ya Wachezaji wenye hatari kiasi ambacho wanaweza kuadhibu team yoyote duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom