Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapa Chelsea watashinda mechi moja Tu ambayo ni ya Bournemouth
 
Attachments

  • 20251214_130720.jpg
    20251214_130720.jpg
    61.9 KB · Views: 11
Kwamba kunyoosha mikono juu ndo ana uhakika hilo litakuwa goli?

Wabongo bhana 😂

Kitu kama hiki niliwahi kuona kwenye Uzi fulani, refa amenyoosha mikono juu bc mtu akasema refa ameshangilia pasi iliyokwenda kuzaa goli wakati kiuhalisia ni kuna rafu ilichezwa Ila ilikuwa advantage Kwa upande wa waliofanyiwa rafu hvy refa akanyanyua mikono kumaanisha Mpira uendelee.
Haya basi hapo Cucurela alikua nanyoosha makwapa, au sio?
 
Haya basi hapo Cucurela alikua nanyoosha makwapa, au sio?
Humu ndani kuna wapingaji tu kwa maana ya kupinga. Cucurella kashangilia goli muda mfupi kabla Palmer hajafunga, hii unaweza ona kwenye replay clip

Humu ndani kuna wapingaji tu kwa maana ya kupinga. Cucurella kashangilia goli muda mfupi kabla Palmer hajafunga, hii unaweza ona kwenye replay clip

View attachment 3515834
Mtu anapinga kitu hajafanyia uchunguzi! Halafu anakwambia wabongo!! sijui nini sijui!!

Ndio mana nikamjibu cucu alikua ananyoosha kwapa, mana kwa akili ndogo tu mchezaji akinyoosha hivyo ni ishara ya nini. Ingekua kuna rafu imechezeka tungesema alikua anaashiria rafu imechezeka.

Kweli sisi wabongo.
 
Manchester United 4-4 Bournemouth 🔥
⚽ 13’ Amad Diallo
⚽ 40’ Antoine Semenyo
⚽ 45+4’ Casemiro
⚽ 46’ Evanilson
⚽ 52’ Marcus Tavernier
⚽ 76’ Bruno Fernandes
⚽ 79’ Matheus Cunha
⚽ 84’ Désiré Kroupi

Lilikuwa gemu la vibonde!
 
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa mashabiki wa The Blues! 🎄💙
Mwaka huu unaonekana kuwa bora kuliko uliopita.
Mechi 3 zijazo za Chelsea:
  1. Newcastle (Ugenini) – Ushindi 2-1
  2. Aston Villa (Nyumbani) – Ushindi 2-0
  3. Bournemouth (Nyumbani) – Ushindi 4-2
Pointi 9 zinakuja. Stamford Bridge inawaka moto. Nguvu iko kweli.

1765903518699.png
 
Chelsea VS Cardiff (Hakuna Estevao Willian, Maresca ana nini lakini))
4-2-3-1
-----------Guiu------------

Gittens --- Buonanotte -- George

--Santos ---Caicedo--

Hato--Badiashile--Tosin--Acheampong

----------Jorgensen---------
Subs:
Sanchez
Chalobah
Fofana
Gusto
James
Fernandez
Garnacho
Neto
Joao Pedro
 
Hatuchezi vizuri kabisa
 
Hatuchezi vizuri kabisa
Mechi kama hizi zinakuwaga hivi kwa timu kubwa zinazoshiriki ligi nyingi kwa sababu lazima matakata ndio yanapewa nafasi ya kumfurahisha kocha. Mimi naona wamecheza vizuri zaidi bya nilivyotarajiak Kwenda HT ukiwa 1-0 ni ushindi mzuri japo walikuwa very sloppy
 
Kipindi cha pili team ilibadilika sana baada ya zile sub Leo Focundo kacheza vizuri sana Kama akiendelea hivyo atapata nafasi nyingi za kucheza, kacheza kwa namna Maresca anavyotaka kwa mchezaji anayecheza no 10
 
Granacho tume pata winga mzuri, akizoea system ya Chelsea tutamfurahia sana. Upande wake uko active sana
 
Mechi kama hizi zinakuwaga hivi kwa timu kubwa zinazoshiriki ligi nyingi kwa sababu lazima matakata ndio yanapewa nafasi ya kumfurahisha kocha. Mimi naona wamecheza vizuri zaidi bya nilivyotarajiak Kwenda HT ukiwa 1-0 ni ushindi mzuri japo walikuwa very sloppy
Mbn magoli yote tumepata second half
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom