Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Estevao ameingia wakati ambao timu inakaa nyuma sana. Yan imesharidhika na uongozi wa goli mbili bila. Hivyo huwezi kuona uwezo wake sana
Kakosa magoli ya wazi kama 2 au 3, naona pia bado sio mzuri kwenye maamuziKwaupangaji huu wa kikosi hutasikia mashabiki wanalalamika. Timu ina flow vizuri, sub za kimkakati, mapungufu leo ilikua ni Garnacho tu.
Palmer effectKitu kilichotusaidia leo tulikua vizuri sana kwenye transition, kutoka kushambuliwa na namna timu ina react kwenda kushambulia. Tuna watu wana kasi sana na nadhani ndio sababu Maresca amempa dakika nyingi Garnacho kutokana na kasi yake japokua alikua keshaobesha mapema game imemuelemea.
Chelsea wameweka clean sheets katika mechi 8 kati ya 16 walizocheza, hakuna timu iliyofanya hivi zaidi kwenye Premier League msimu huu. » @BBCSportlembu CB wameendeleza record yako ya clear sheet wakiwepo hao wawili
Sasa imagine na Colwill arudi wa combine aidha Fofana na Trevoh au Fofana na Colwill au Trevoh na ColwillHuyu jamaa akiwa fit, Chelsea una uhakika wa kupata clean sheet.
View attachment 3515191
Bado na yule dogo Amcheapong ni vile tu kocha huwa ni mweu wakati mwingine Kama unampumzisha Fofana, combination ya Amcheapong na Chalobah ndio inafaa yeye anaenda kuwapa Tosin na Badiashile ila angalau kidogo Badiashile ana unafuu akicheza na beki mzuri. Enzo Fernandez inabidi apuumzishwe kwa kweli huwa anapoteza sana pass Enzo kwenye ubora wake uwezi kukuta hivyoSasa imagine na Colwill arudi wa combine aidha Fofana na Trevoh au Fofana na Colwill au Trevoh na Colwill
Tosin ni wa kuwekwa kapu moja na Disasi, hawana tofauti. Hao sio calibrfe ya Chelsea, usajili wao ulikosewa kabisaBado na yule dogo Amcheapong ni vile tu kocha huwa ni mweu wakati mwingine Kama unampumzisha Fofana, combination ya Amcheapong na Chalobah ndio inafaa yeye anaenda kuwapa Tosin na Badiashile ila angalau kidogo Badiashile ana unafuu akicheza na beki mzuri. Enzo Fernandez inabidi apuumzishwe kwa kweli huwa anapoteza sana pass Enzo kwenye ubora wake uwezi kukuta hivyo
Kumbe nilitabiri vizuri, nipeni maua yangu-------------Joao Pedro------------
Pedro Neto ---Palmer -------Estevao Willian
----------Enzo ------------James-------
Cucurella ---Chalobah ----Fofana-----Gusto
---------------Sanchez -------------------
Wataponaje hapo hao Everton?
Matokeo 2-0
Kwamba kunyoosha mikono juu ndo ana uhakika hilo litakuwa goli?Muone cucurela, yupo na uhakika hilo litakua goli.
Wabongo sisi ni kipengele sana 😂Ndio kama zile stori za Range Rover hairuhusiwi kupaki benki.