Clean sheet 😂😅Huyu jamaa akiwa fit, Chelsea una uhakika wa kupata clean sheet.
View attachment 3515191
Leo tusipokula tano sijui
Mpira tunaocheza Siku hizi ni wa kiseng€ , hivi ni nini kilimfanya Maresca kubadilisha style ya kucheza ile tuliyokuwa tunatumia miezi mitatu ya kwanza alipoingia Chelsea ? ,ile style ndio inatufaa .Kucheza kwa kasi pasi fupi na ndefu na kumkimbiza adui mwanzo mwisho huku tukimiliki mpira bila kupoza mashambulizi ...........ile style nakumbuka tulizitandika Timu zote tulizokutana nazo na walipata shida hata kujua wamkabe nani ,hasa viungo na mabeki wa timu pinzani tulizocheza nazo .......Wadau naomba mnipe majibu .........Huyu kichwa andazi maresca ananitia kinyaa Sana sasa hiviNewcastle vs Chelsea
4-2-3-1
-----------Joao Pedrou------------
Garnacho --- Palmer -- Neto
--Caicedo ---James--
Cucurella--Chalobah--Fofana--Gusto
----------Sanchez---------
Subs:
Jourgensen
Acheampong
Badiashile
Tosin
Hato
Fernandez
Santos
Buonanotte
Guiu
aYani kipindi cha kwanza tungecheza kama tulivyocheza kipindi cha pili game ilikuwa yetu kabisa,
Shida Maresca huwa anasubiri afungwe kwanza ndo aanze kuhangaika kusawazisha
The blues sio ya kupigwa tano ww ndg uwa mnasema hivi hivi kila tukikaribia kucheza na timu kubwa alafu tunazifunga tuKuna mashabiki wa Arsenal walikua wanapiga hesabu Chelsea eti imzuie City 😅😅😅
Mkifa chini ya tano nitafuteni
Ni msimu uliopita tu Arsenal imewafunga tanoThe blues sio ya kupigwa tano ww ndg uwa mnasema hivi hivi kila tukikaribia kucheza na timu kubwa alafu tunazifunga tu
Sio bahati ni uwezo, hata chelsea sasa kuliko kuwa na Tosin, badiashile au Disas. Ni bora tuwe na Silva.Kuna wachezaji wanabahati ,THIAGO SILVA TO PORTO
Alikuwa injuryYeah ni sahihi na kwanini dogo Estevao hachezi hadi hizi mechi
Kwenye hili siwezi kumlaumu kocha wachezaji ndio wamezingua walikuwa wanacheza kivivu, Kasi ndogo, hawakabi na second balls zilikuwa zinawashinda kipindi cha Kwanza tulizidiwa sio kwasababu ya kimbinu wachezaji wenyewe walisinziaYani kipindi cha kwanza tungecheza kama tulivyocheza kipindi cha pili game ilikuwa yetu kabisa,
Shida Maresca huwa anasubiri afungwe kwanza ndo aanze kuhangaika kusawazisha