Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

-------------Joao Pedro------------

Pedro Neto ---Palmer -------Estevao Willian

----------Enzo ------------James-------

Cucurella ---Chalobah ----Fofana-----Gusto

---------------Sanchez -------------------

Wataponaje hapo hao Everton?
Matokeo 2-0
Kabla ya mchezo hapo ngoja sasa mechi ianze mwenyewe hutaamini Chelsea itakavyokushangaza
 
Sio hana first XI, kwa taarifa nilizozisikia kutoka jikoni kama ni za kweli, uongozi wanamtaka kocha afanye rotation wachezaji wote wapewe dakika ili dhamani yao iboreke. Wamekaa kibiashara zaidi
Sio uongozi ndio wamemlazimisha afanye mabadiliko huo ni uongo ila wameunga mkono mabadiliko anayofanya tofautisha nilichozungumza na kauli yako
 
-------------Joao Pedro------------

Pedro Neto ---Palmer -------Estevao Willian

----------Enzo ------------James-------

Cucurella ---Chalobah ----Fofana-----Gusto

---------------Sanchez -------------------

Wataponaje hapo hao Everton?
Matokeo 2-0
Enzo Fernandez uwezo wake umepungua sana sio yule Enzo ninaemjua Enzo alikuwa anapiga pass konyo akiwa chini hata juu lakini now days amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaopoteza pass in short inabidi apuumzishwe ili arudi kwenye kiwango chake na isiwe mechi pekee ila kocha wako Hilo halioni
 
Anacheza sana
Kocha leo kasema ni kawaida yeye na Cucurella wamechoka kwa sababu ya gemu nyingi
 
Enzo Maresca alipoulizwa kuhusu timu kutokuwa consistent:
"Ni soka - ni jambo la kawaida kabisa. Siku zote tunatafuta matatizo na mambo tunayohitaji kuyatatua. Mechi ya Leeds ilikuwa siku nane/ tisa zilizopita, hatutabadili msimu wetu kwa sababu hatukupata pointi tunazotarajia. Nimetulia kabisa. Hi ni soka, hiyo ndiyo sababu ya kushuka kwa pointi."
 
Kichaa na takataka wenu ndie Kocha bora wa EPL mwezi wa 11

"Enzo Maresca amechaguliwa kuwa Meneja Bora wa Mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Uingereza."

1765548054547.png
 
Maresca amedokeza kuwa Chalobah na Fofana wataendelea kuwa chaguo lake kwenye nafasi ya mabeki wa katikati wa kuanzia kwani wana jumla ya clean sheet 4-5 wakicheza pamoja mfululizo.
1765548428854.png
 
Sio uongozi ndio wamemlazimisha afanye mabadiliko huo ni uongo ila wameunga mkono mabadiliko anayofanya tofautisha nilichozungumza na kauli yako
Sera ya mradi hailazimishi direct kufanya rotation bali mazingira mazima yakiwemo sera yenyewe inamfanya kocha afanye hivyo kwa baadhi ya positions
Mfano:
1) Wafanyikazi wa matibabu wakishauri juu ya load management ya wachezaji na mapumziko ili wasipatwe na majeruhi ya misuli, kocha lazima awasikilize. Wachezaji kama Reece James, Wesley Fofana, Romeo Lavia na wengine hawatakiwi kucheza zaidi ya mechi moja ndani ya siku tatu. Kwa hiyo lazima rotation iwepo
2) Squad kubwa yenye vipaji wa umri mdogo wanaotakiwa kuendelezwa
Maresca hali halisi itamsuta tu kama wachezaji wengine watakaa tu kusugua mabenji na hawapewi kucheza. Sera inamtaka kocha kuwaendleza hao vijana ili baadaye waweze kuisaidia timu au wauzwe kwa faida.
3) Sera ya mradi ya kujenga timu na kuepuka matokeo ya haraka yenye kuchukua muda mfupi. Maresca hajapewa malengo makubwa bali amepewa malengo ya kukuza hizo vipaji za wachezaji kama Gittens, Hato, nk na ndio maana anajitahidi kuhakikisha wanacheza
4) Mechi Nyingi Disemba hadi January- mechi nyingi husababisha wachezaji wengine wanaocheza kila mechi kuchoka sana na kupata fatiki hivyo kuwapumzisha na kuwaleta wengine ni lazima
 
Kichaa na takataka wenu ndie Kocha bora wa EPL mwezi wa 11

"Enzo Maresca amechaguliwa kuwa Meneja Bora wa Mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Uingereza."

View attachment 3514709
Mwezi November kacheza mechi nne kapata point tatu mechi tatu na sare dhidi ya Arsenal. Nadhani anastahili

Halafu nadhani wengine unatu quote vibaya. Maresca sio kichaa au takataka, ila kiukweli kuna muda zinashika kuna muda zinaachia mpaka unajiuliza namna hii kitu imekaa 😂
 
:AYOOO: 😂
 
Chelsea VS Everton
4-2-3-1
-----------Joao Pedro------------

Garnacho --- Palmer -- Neto

--Enzo ---James (C)--

Cucurella--Chalobah--Fofana--Gusto

----------Sanchez---------
Subs
Jorgensen
Tosin
Badiashile
Hato
Acheampong
Santos
Gittens
Estevao
Guiu
 
Malo Gusto alianzisha kujenga mashambulizi na akawasili kwenye boksi kwa wakati ili kufunga bao la pili la Chelsea kabla ya mapumziko.
Chelsea 2-0 Everton
Gusto ana bao na assist leo, mchezaji hatari kweli!
1765641045558.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom