Joao Pedro
Member
- Oct 21, 2025
- 77
- 76
Yeah ni sahihi na kwanini dogo Estevao hachezi hadi hizi mechiKey players walioingia ndio wameleta mabadiliko
Yeah ni sahihi na kwanini dogo Estevao hachezi hadi hizi mechiKey players walioingia ndio wameleta mabadiliko
Estevao anatatizo dogo la misuli hata match ijayo hatacheza.Yeah ni sahihi na kwanini dogo Estevao hachezi hadi hizi mechi
Asante sana, maelezo yamejitosheleza kabisaEstevao has a small muscular problem, a light injury," Maresca said, as quoted by Chelsea's official website.
"He won’t be available for Newcastle but we will see for the next one. I think he can be available for the next game [against Aston Villa on December 27]."
Huyu jamaa sijawahi kumuelewa
Hawa wachezaji hawakununuliwa ready-made materials. Mna kazi kubwa ya kuuelewa mradi. Hawa wamenunuliwa wakiwa na talents. Kocha ndio kazi yake kuihakikisha anakuja kuwa mchezaji mzuri. Mchezaji yeyeyote aliye chini ya 23 bado ni raw player
Pound mil 50 kwa raw player ni matumizi mabaya ya fedhaHawa wachezaji hawakununuliwa ready-made materials. Mna kazi kubwa ya kuuelewa mradi. Hawa wamenunuliwa wakiwa na talents. Kocha ndio kazi yake kuihakikisha anakuja kuwa mchezaji mzuri. Mchezaji yeyeyote aliye chini ya 23 bado ni raw player
Inaweza kuwa mbaya kama unajua Project Model and Rationale, kama hujui ni vyema kuwa mtazamaji wa kusubiri matokeoPound mil 50 kwa raw player ni matumizi mabaya ya fedha
Kuna mtu kauliza hivi:Man City wamemweka kwenye orodha ya juu kabisa Enzo Maresca koach aw sasa wa Chelsea endapo kama PEP Guardiola hataendelea kuifundisha timu hiyo ya jiji la Manchester kuanzia msimu ujao wa 2026/2027
View attachment 3517150
Kumng'oa Arteta Arsenal ngumu sana kwa sasaKuna mtu kauliza hivi:
Lakini kwanini Man City na Pep Guardiola hawamfuata Mike Arteta❓🤔
Hamna talent humo, kama huyo ni talented na Estevao atakua nini?Hawa wachezaji hawakununuliwa ready-made materials. Mna kazi kubwa ya kuuelewa mradi. Hawa wamenunuliwa wakiwa na talents. Kocha ndio kazi yake kuihakikisha anakuja kuwa mchezaji mzuri. Mchezaji yeyeyote aliye chini ya 23 bado ni raw player
Arteta ni tapeli, city wanataka kocha wa makombe. Sio kocha wa phases.Kumng'oa Arteta Arsenal ngumu sana kwa sasa
Sababu inayotolewa wala sio hiyoKumng'oa Arteta Arsenal ngumu sana kwa sasa
Aisee ngoja tuoneSababu inayotolewa wala sio hiyo
Enzo Maresca alikuwa ndie Assistant wa karibu wa PEP Guardiola wakati Man Cityu ipo kwenye kilele cha utukufu wa soka la Uingereza. Maresca anajua in and out ya mbinu zote za PEP Guardiola kwa hiyo wanaona wakimchukua yeye kutakuwepo na uendlevu mzuri tofauti na wakimchukua kocha mwingine akiwemo Mikel Arteta
Newcastle vs ChelseaEnzo on the bench