OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Angalia hii takataka, tutawapuka ipasavyoo😂😂😂😂Mmeshakubaliana barca wawachenyete ngapi?
Angalia hii takataka, tutawapuka ipasavyoo😂😂😂😂Mmeshakubaliana barca wawachenyete ngapi?
wowowo 😂View attachment 3507759
Hii angekua ni Sterling tayari ni Offside.
Arsenal katika Dirisha dogo la January 2023 walikutana na Kambi ya caicedo pamoja na caicedo mwenyewe na kumalizana nao kila kitu kuhusu personal term'sWakati Caicedo amehojiwa Leo kuelekea mechi na Arsenal akaulizwa na daily Mail kwanini aliichagua Chelsea na si Arsenal alivyokuwa anawaniwa vilabu vyote viwili
Caicedo: Niliamua kusubiri offer ya Chelsea japo Arsenal walikuwa wa Kwanza kuonesha wananihitaji sababu iliyomfanya niichague Chelsea kwasababu Wana big ambitious na kuchukua makombe hiyo ilinivutia kujiunga nao
Kikosi kizuriChelsea vs Arsenal
Line up: 4-2-3-1
-----------Joao Pedro------------
Neto --- Enzo -- Estevao
--Caicedo ---James (C)--
Cucurella--Chalobah--Fofana--Gusto
----------Sanchez---------
Bench
- Jorgensen
- Acheampong
- Tosin
- Badiashile
- Andrey Santos
- Palmer
- Gittens
- Garnacho
- Delap
Hakika mkuuKikosi kizuri
Bro kumbe unaiwazia chelsea? Baada ya kumfunga kilema west ham unaona umeyapatia maisha siyo. Jana tu umepigwa 6 na PSV. Binadamu wanasahau haraka sanaNyie bado hamna team
Leo mnakong’otwa
Bingwa ni Liverpool
Nani sasa hayaogopi majogoo?