Tulikuwa tumeshaishika game😅 We jamaa unachekesha Sana,mlikuwa mmetufunga mabao mangapi kabla ya Caicedo kuonyeshwa nyekundu?
Tulikuwa tumeshaishika game😅 We jamaa unachekesha Sana,mlikuwa mmetufunga mabao mangapi kabla ya Caicedo kuonyeshwa nyekundu?
Vipigo vinawahusu kuanzia keshoKadi ya Caicedo mimi sijasikitika sana kwa sababu alihitaji kupumzika yule dogo. Wacha Andrey Santos apate naye muda wa kujidai kwa mechi tatu mfululizo
Ujio wa Palmer kikosi kitakuwaje maana kwenye game ngumu katikakati anakuwa James na Caicedo no 10 ni Enzo Sasa ujio wa Palmer kikosi kitakuwaje Hilo ni swali huwa najiulizaMashabiki wa Arsenal ni washenzi sana, visingizio vingi hata hawaangalii mwenendo wa Chelsea tangu tuwatwange PSG wakafuata Barcelona. Washukuru Mungu Caicedo aliwaokoa kwa red card. NA wakisuasua kwenye ligi sisi tutawaovertake ifikapo January na hawatatukamata tena. Naomba tu Mungu Fofana na Chalobah waendelee kuwa wazima na Cole Palmer arudi kwente form na fitness yake
Nazungumzia kwa game kubwa zenye kuitaji physicality huwa mara nyingi Reece James anakuwa partner na Caicedo ndio maana nimeuliza role ya Enzo na Palmer itakuaje?system ya maresca katikati ni ya kucheza na viungo wa3 ambao huwa ni caicedo ,enzo na palmer..
mbele wanakuwa washambuliaji wa3 ,kwa maana ya wawili kutokea pembeni na mmoja kati..
reece kucheza kiungo ni dharura tu na hasa ikitokea palmer kaumia ama mshambulia mmja wa pembeni kakosekana..
so palmer akirudi na wingers zote zipo available ,reece nae atarudi kwenye majukumu yake ya FB.
Umesahau Palmer anakulaga ubavu wa juu kule kimakaratasi ila anaoperate kama winger ten halafu MG anaoverlap kwenye ile flank rejea mechi ya fainali na paris, najua utauliza kuhusu Neto pengine na toto tundu ila hapo Neto anaweza kuwa kama false 9 au LW toto tundu anaweza ingia badaeNazungumzia kwa game kubwa zenye kuitaji physicality huwa mara nyingi Reece James anakuwa partner na Caicedo ndio maana nimeuliza role ya Enzo na Palmer itakuaje?
Sidhani kama unamuelewa Maresca wewesystem ya maresca katikati ni ya kucheza na viungo wa3 ambao huwa ni caicedo ,enzo na palmer..
mbele wanakuwa washambuliaji wa3 ,kwa maana ya wawili kutokea pembeni na mmoja kati..
reece kucheza kiungo ni dharura tu na hasa ikitokea palmer kaumia ama mshambulia mmja wa pembeni kakosekana..
so palmer akirudi na wingers zote zipo available ,reece nae atarudi kwenye majukumu yake ya FB.
Japo umejaribu kufikiri ila Maresca atakuwa na mtihani mgumu sana kwenye kupanga maana huyo Estevao mwenyewe ni wamoto tofauti na kipindi kile cha Madueke ndio maana alikuwa uwezo wa kufanya hivyo ya kuiua left winger kwa kumpa PalmerUmesahau Palmer anakulaga ubavu wa juu kule kimakaratasi ila anaoperate kama winger ten halafu MG anaoverlap kwenye ile flank rejea mechi ya fainali na paris, najua utauliza kuhusu Neto pengine na toto tundu ila hapo Neto anaweza kuwa kama false 9 au LW toto tundu anaweza ingia badae
Na hiyo ndo fresh wenyewe huwa wanaita nice problems, kocha anaulizwa maswali magumu na performance za wachezaji jambo ambalo ni faida kwa timu, ni sawa na anayeumiza kichwa atavaa nini kutoka kwenye nguo chache alizonazo na yule anayeumiza kichwa atavaa nini kutoka kwenye nguo nyingi tena za viwango alizonazo ndo nice problems hizo, all in all napenda anavyomanage dakika za dogo ni nzuri sana kwa growth yakeJapo umejaribu kufikiri ila Maresca atakuwa na mtihani mgumu sana kwenye kupanga maana huyo Estevao mwenyewe ni wamoto tofauti na kipindi kile cha Madueke ndio maana alikuwa uwezo wa kufanya hivyo ya kuiua left winger kwa kumpa Palmer
Kumbuka kuwa Palmer anacheza pia RW, Neto anaweza nafasi zote za mbele, Estevao anaweza kucheza mbele nafasi zingine pia, Kocha atakuwa na uhuru wa kupanga kikosi ila Palmer kwa kutengeneza nafasi na kucontrol rythmn ya kule mbele hajamboUjio wa Palmer kikosi kitakuwaje maana kwenye game ngumu katikakati anakuwa James na Caicedo no 10 ni Enzo Sasa ujio wa Palmer kikosi kitakuwaje Hilo ni swali huwa najiuliza
Kipindi kile Palmer anapata nafasi yakucheza kwenye RW ni kwasababu winger ni Madueke Sasa hivi kule Kuna watu haswa Estevao na Pedro Neto ni ngumu kwa Palmer kuchezeshwa kuleKumbuka kuwa Palmer anacheza pia RW, Neto anaweza nafasi zote za mbele, Estevao anaweza kucheza mbele nafasi zingine pia, Kocha atakuwa na uhuru wa kupanga kikosi ila Palmer kwa kutengeneza nafasi na kucontrol rythmn ya kule mbele hajambo
Fawanews.scNaombeni ndugu zangu application nzuri za kucheki mpira live
Asante sanaFawanews.sc
Tunacheza utumbo yote kayataka kocha huwezi kufanya change kubwa ya kikosi kiasi hicho kwenye game unayoitaji point 3Mnaocheki mpira tuambien wachezaji wamelewa au?!! naona livescore hapa dk.6 shots 5 na goli juu.