Kabla ya saa 6, ni kweli Chelsea tumeona rangi zote, asante kwa utabiri wako mkuu, sasa em lala ukue.Huko mbali sana, hadi saa 6 kila rangi mtakua mmeiona
Subir tukiwalamba arsenal uje tukukaribishe kwa mabingwa wa dunia rasmi 😂leo natulia maana siwezi mshabikia chelkenge au yamal bichwa.
Mashabiki wa Chelsea hatunaga muda wa kujadili vitu vidogo vidogo kama hivi, tunaweka mpira uwanjani afu tunawaacha wahusika wajadili wnyw 😂Estevão Willian dhidi ya Lamine Yamal 🔥 Nani bora?
Bado Robby Sanchez amebadilika sana tangu mwezi wa tatu mwaka jana na hasa kwenye FIFA WCMimi nna mambo manne leo.
1. Caisedo + Cucurella = 🙌
2. Watu wengi humu mnamponda sana Chalobah, Ila mm narudia kusema, Chalobah ni beki kiwango cha kimataifa.
Chalobah anajua kujituma mno, kumponda Chalobah ni kumkosea adabu na unastahili kuchapwa viboko.
3. Safu ya ulinzi inamfanya Sanchez a-enjoy golini mana hapati changamoto.
4. Estevao ni project iliyohai Kwa miaka 10 ijayo kwa 100%
Uongozi wanapaswa kumpa mkataba wa zaidi ya miaka 10 na masharti magumu ya kuondoka.
All in all, timu yote leo imecheza kibingwa, imecheza kama wapo fainali.