Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Marc Cucurella kuhusu kama itakuwa vigumu kumwona Lamine Yamal akiwa na timu ya taifa ya Hispania:

"Ninajua. Nilipaswa kufanya kazi yangu leo na natumai mambo haya yatabaki uwanjani."
 
Chelsea 3 - 0 PSG (France champion)
Chelsea 3 - 0 BARCELONA (Spain Champion)
Chelsea 2 - 1 LIVERPOOL (England champion)
Chelsea 1 - 0 TOTTENHAM (Europa cup champion)

Tukisema, Chelsea ni mabingwa wa dunia, tunamaanisha hvy kweli.

Waje na hao mabingwa wengine waliobakia.
 
Hii video nmecheka sana, ety cucurella anamtoa yamal nje ya uwanja 😂
 
Chelsea 3 - 0 PSG (France champion)
Chelsea 3 - 0 BARCELONA (Spain Champion)
Chelsea 2 - 1 LIVERPOOL (England champion)
Chelsea 1 - 0 TOTTENHAM (Europa cup champion)

Tukisema, Chelsea ni mabingwa wa dunia, tunamaanisha hvy kweli.

Waje na hao mabingwa wengine waliobakia.
Arsenal 5-0
Arsenal 1-0 Chelsea
Arsenal 3- Chelsea 0
Woii 😂 😂
 
Chelsea 3 - 0 PSG (France champion)
Chelsea 3 - 0 BARCELONA (Spain Champion)
Chelsea 2 - 1 LIVERPOOL (England champion)
Chelsea 1 - 0 TOTTENHAM (Europa cup champion)

Tukisema, Chelsea ni mabingwa wa dunia, tunamaanisha hvy kweli.

Waje na hao mabingwa wengine waliobakia.
Kono la nyani lina kuja 😂 😂
FB_IMG_17639344898803267.jpg
 
Mimi nna mambo manne leo.

1. Caisedo + Cucurella = 🙌

2. Watu wengi humu mnamponda sana Chalobah, Ila mm narudia kusema, Chalobah ni beki kiwango cha kimataifa.
Chalobah anajua kujituma mno, kumponda Chalobah ni kumkosea adabu na unastahili kuchapwa viboko.

3. Safu ya ulinzi inamfanya Sanchez a-enjoy golini mana hapati changamoto.

4. Estevao ni project iliyohai Kwa miaka 10 ijayo kwa 100%
Uongozi wanapaswa kumpa mkataba wa zaidi ya miaka 10 na masharti magumu ya kuondoka.

All in all, timu yote leo imecheza kibingwa, imecheza kama wapo fainali.
Kocha pia alikuwa mastermind. Maresca huwa anajua kucheza game kubwa ila ugomvi wangu nae ni moja huwa ana dharau sana hizi team ndogo ndio tunafungwa
 
Chelsea 3 - 0 PSG (France champion)
Chelsea 3 - 0 BARCELONA (Spain Champion)
Chelsea 2 - 1 LIVERPOOL (England champion)
Chelsea 1 - 0 TOTTENHAM (Europa cup champion)

Tukisema, Chelsea ni mabingwa wa dunia, tunamaanisha hvy kweli.

Waje na hao mabingwa wengine waliobakia.
Hapo umemjibu vizuri yule mchambuzi wa liverkuku beki mstaafu aliyekuwa anaongoza kwa kujifunga
 
Tuongee tusiache neno
Wale mashabiki wa Chelsea wanaombonda Maresca na kumwita takataka
Mechi ya PSG tulishinda kabla ya mechi
Mechi na Barcelona tumeshinda kabla ya mechi. Wachezaji wamekopi na kupaste maelekezo ya meneja wao 100% na tukashinda mechi
Tuwape shukrani SD an scouting team waliotusajilia matakata wanaofanya vizuri

Chelsea 3- 0 Barcelona

Arsenal coming soon
 
Kitu ambacho wengi hawaelewi ni kwamba chelsea inawachezaji ambao wana uchu na vikombe pamoja na mafanikio kila mchezaji aliyeoko Chelsea anatamani ashinde na afanikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom