Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Habari zenu The Bluse na wale wachokonozi wa Emirates
Tuna gemu muhimu leo saa tano suiku
Kama wewe ni mpenzi wa kweli wa Chelsea, tusamahe usingizi leo kutoa support kwa timu yetu pendwa
 
Chelsea dhidi ya Barcelona
Hii ndiyo kikosi cha Chelsea katika mfumo wa 4-2-3-1

----------------Neto-------------

Garnacho ------ Enzo ----- Estevao

-----Caicedo ---------James (C)-----

Cucurella---Chalobah---Fofana---Gusto

-----------------Sanchez---------------
Subs
  1. Jørgensen
  2. Tosin
  3. Badiashile
  4. Hato
  5. Acheampong
  6. George
  7. Santos
  8. Buonanotte
  9. Gittens
  10. Joao Pedro
  11. Delap
  12. Guiu
Maelezo ya Kitaaluma
  • James na Caicedo wakicheza kama viungo wa kuzuia wanatoa uwiano na kulinda safu ya nyuma.
  • Fernández akiwa kiungo mshambuliaji wa kati anaunganisha safu ya kati na ya mbele.
  • Estevão na Garnacho wanatoa mbio na ubunifu pembeni.
  • Neto ndiye anayeongoza safu ya ushambuliaji akisaidiwa na viungo washambuliaji.


1764097027220.png
 
Ubutu wa mastriker wetu naona leo wote watatu wamekula benchi.😂
 
Leo hawa wetu tatu zinawatosha gusto ana game nzuri naomba ssipewe red card
Malo Gusto anatoka na kuingia Andrey Santos
James atarudi RB na Santos na Caicedo wataweka ukuta wa kuwalinda walinzi na kipa
Game over
 
Ubutu wa mastriker wetu naona leo wote watatu wamekula benchi.😂
Sio kweli tunawashambuliaji butu ila kocha kapanga hivyo kwasababu ya aina ya uchezaji wa Barca. Barca wanacheza high line na kocha anataka kuivunja anaivunjaje? Ni kuwa na wachezaji watatu mbele wenye Kasi ili iwe rahisi kwenye kupiga counter attack lakini pia iwe rahisi mtu kama Enzo kupata space ya kuingia ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom