Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,123
- 104,668
Sawa ligi imeisha leo, kachukueni kombe lenu.Bingwa ni Arsenal nyie cheltaco achen kujifalijišÆ
Sawa ligi imeisha leo, kachukueni kombe lenu.Bingwa ni Arsenal nyie cheltaco achen kujifalijišÆ
Mna bahati ile kadi imetutoa mchezoni. Pia hongereni kwa kucheza pouwa.Hongereni blues.
Leo mmetupa a very competitive game.
Bingwa ni Arsenal nyie cheltaco achen kujifalijišÆ
Nyie ndo acheni kujifariji wazee wa kubottle specialist in failing( in mourinhoās voice)šBingwa ni Arsenal nyie cheltaco achen kujifalijišÆ
Mna bahati ile kadi imetutoa mchezoni. Pia hongereni kwa kucheza pouwa.Hongereni blues.
Leo mmetupa a very competitive game.
Kikosi kizuriChelsea vs Arsenal
Line up: 4-2-3-1
-----------Joao Pedro------------
Neto --- Enzo -- Estevao
--Caicedo ---James (C)--
Cucurella--Chalobah--Fofana--Gusto
----------Sanchez---------
Bench
- Jorgensen
- Acheampong
- Tosin
- Badiashile
- Andrey Santos
- Palmer
- Gittens
- Garnacho
- Delap
Sio competitive game huwa mabingwa wa club Dunia huwa ndio tunafanya hivi uliona masiala PSG kala tatu takatifuHongereni blues.
Leo mmetupa a very competitive game.
šNyie wajinga Hilo timu lenu bovu sana yaani mpo nyumbani mnatoa sare
Usisahau tuliwapiga 5 mkiwa na huyo Caicedo wenuMaresca ni masterclass na nilijua Jana hawa jamaa tunawakanda team yako ni nzuri ukiwa haujakutana na Chelsea yaani kwa kweli ile kadi ya Caicedo imenikera mno ndio imefanya hawa jamaa waondoke na point 1.Watu tulikuwa tunamponda Maresca kumchezesha James midfielder nadhani umeona imework hata Thomas Tuchel ataanza kumfikiria James kucheza kazi amewapika vijana Arteta pale Kati Kama watoto nahajarumia sana nguvu akili mtu wangu.
Alafu mwisho wa msimu ulipata kombe gani kubwa?Usisahau tuliwapiga 5 mkiwa na huyo Caicedo wenu
Waliona ni mtego wa counter attack pindi tukifanikiwa kupata mpira ikabidi wao ndio waje kutukaba dah nilicheka š¤£View attachment 3510015
Huu ni uhuni tumefanya kw hawa wazee wa seti pisessi, na hapa tulikua pungufu.
Kona wanapga wao huku mashuzi yanawatoka.
Wakija Emirates hakuna rangi wataacha kuona wale chelkengeYaan kona zao zilikuwa chakula kwa sanchez tu maana ilipunguza idadi ya wachezaji wa arsenyeto kwenye boxš maresca safi sana
Waliona n
Wewe ulitakiwa kushukuru kwa red card maana tofauti na hapo ilikuwa unaacha point 3Wakija Emirates hakuna rangi wataacha kuona wale chelkenge
Kwa maoni yako tumeona Palmer amerudi swali najiuliza kwenye game kubwa Maresca hupendelea na kuanzia na James na Caicedo pale Kati na Enzo anakaa 10 Je kwa ujio wa Palmer pale itakuaje? Enzo atacheza wapi au atakaa benchi kitu ambacho sioni Nini maoni kwenye hiliYaan kona zao zilikuwa chakula kwa sanchez tu maana ilipunguza idadi ya wachezaji wa arsenyeto kwenye boxš maresca safi sana
Hata Sisi kuna kipindi tulikuja Stamford David Luiz akala nyekundu BT tuliondoka na alamaWewe ulitakiwa kushukuru kwa red card maana tofauti na hapo ilikuwa unaacha point 3
Na huo mtego tungekua kamili ungewanasa tu, mana hivyo viberenge vilivyokua vinasubiri huku nyuma sio poa.Waliona ni mtego wa counter attack pindi tukifanikiwa kupata mpira ikabidi wao ndio waje kutukaba dah nilicheka š¤£
š We jamaa unachekesha Sana,mlikuwa mmetufunga mabao mangapi kabla ya Caicedo kuonyeshwa nyekundu?Wewe ulitakiwa kushukuru kwa red card maana tofauti na hapo ilikuwa unaacha point 3