Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Uzuri furaha yenu ni kuwa second runner kwa hiyo malengo yenu ni rahisi kutimiza
Hatujawahi kuwa na furaha kuwa second runner...inatokea tu mkuu...ila hawa Livakuku tusipopata majeraha makubwa kwa wachezaji muhimu msimu huu....tutalala nao mbele....mtamkumbuka Jackson sana msimu huu🤠🤠🤠
 
Kocha anafanana na mashabiki wa humu ujuaji sana alafu ukisema unaonekana sio the blues
Wewe ndie mjuaji sana peke yako. Kocha anaingiaje hapa
Beki anayemtegemea kaumia. Amewaeleza wamiliki kuwa anataka beki wakamkatalia
Maresca ninamtetea sana kwa sababu anajitahidi kutumia chenji aliyonayo. Chelsea inasura ya kuwa deep squad lakini kumbe nio fake deep. Kuna wachezaji wakiumia tu, hata Champiomship hatuwezi shindana
Tosin very poor kwenye 1v1
Fofana very poor kwenye kumark man to mana na teritorial marking
Maresca hana shida, hajapewa wachezaji, Gittens ndio huyo bora hata academy, amewahishwa kwenye firstv team
Facundo Buonanotte ndio huyo aliletwa badala ya Xavi Simons.
Gamu ya Bayern Jtano pia ilichangia sana akina Buonanotte kuianza jana
 
Angeweza kuanza na full mkoko mapema. Piga mbili then second half anza kufanya sub kidogo kidogo wakati huo ushamsoma mpinzani wako.

Alichofanya ni kubet.. yaani akili yake yote anawaza game ya jumatano.

Shinda hii match nyepesi. Match ijayo jumatano match ngumu hata ukipoteza hutolaumiwa sana. Hii game kupoteza point tatu ndio inauma sana. Hasa kwenye swala la mbio za ubingwa. Team za madaraja ya kati na chini ndio za kuhakikisha unachukua point zote tatu bado mapema.

Haya mfano kapoteza hii.. na jumatano unapigwa unakuwa umefanya nini?
 
Gittens asipojichunga atatoka nje ya reli completely, kwanza yupo under pressure ya kudeliver pili ni kama week in week out kutakuwa na comparison na Madueke,
Sasa hiyo vita ya Arsenal na Chelsea itabebwa personal kati ya hao wawili

Hivyo yule shabiki yake humu nampa pole maana ana mlima mrefu wa kupanda
 
Hayaa mjaze hiyo fomu ya kuomba msamaha kwa madueke
snapins-ai_3721420400640224169.jpg
 
Gittens asipojichunga atatoka nje ya reli completely, kwanza yupo under pressure ya kudeliver pili ni kama week in week out kutakuwa na comparison na Madueke,
Sasa hiyo vita ya Arsenal na Chelsea itabebwa personal kati ya hao wawili

Hivyo yule shabiki yake humu nampa pole maana ana mlima mrefu wa kupanda
Kwani Gittens kafanyaje mkuu ..mbona anakipiga fresh tuu
 
Wewe ndie mjuaji sana peke yako. Kocha anaingiaje hapa
Beki anayemtegemea kaumia. Amewaeleza wamiliki kuwa anataka beki wakamkatalia
Maresca ninamtetea sana kwa sababu anajitahidi kutumia chenji aliyonayo. Chelsea inasura ya kuwa deep squad lakini kumbe nio fake deep. Kuna wachezaji wakiumia tu, hata Champiomship hatuwezi shindana
Tosin very poor kwenye 1v1
Fofana very poor kwenye kumark man to mana na teritorial marking
Maresca hana shida, hajapewa wachezaji, Gittens ndio huyo bora hata academy, amewahishwa kwenye firstv team
Facundo Buonanotte ndio huyo aliletwa badala ya Xavi Simons.
Gamu ya Bayern Jtano pia ilichangia sana akina Buonanotte kuianza jana
Facundo ni mzuri yaani unaona kabisa Kuna mchezaji shida ya first half tulikuwa ovyo ndio maana ukaona hivyo hata Gittens kidogo alianza kuchangamka baada ya zile substitution.Ninachokiona Facundo inabidi acheze kwenye team inayojielewa utamuona ni mzuri, Gittens huyu anahitaji muda kutokana na aina ya ligi EPL inatumia nguvu na aina ya team zinavyodefend sio Kama bundesliga ndio maana unaona hata florian wirtz ana struggle pale Liverpool. Kocha namlaumu sio kwasababu ya kuingiza wachezaji wapya la hasha alichokosea ni kufanya changes kwa kiwango kikubwa
 
Wewe ndie mjuaji sana peke yako. Kocha anaingiaje hapa
Beki anayemtegemea kaumia. Amewaeleza wamiliki kuwa anataka beki wakamkatalia
Maresca ninamtetea sana kwa sababu anajitahidi kutumia chenji aliyonayo. Chelsea inasura ya kuwa deep squad lakini kumbe nio fake deep. Kuna wachezaji wakiumia tu, hata Champiomship hatuwezi shindana
Tosin very poor kwenye 1v1
Fofana very poor kwenye kumark man to mana na teritorial marking
Maresca hana shida, hajapewa wachezaji, Gittens ndio huyo bora hata academy, amewahishwa kwenye firstv team
Facundo Buonanotte ndio huyo aliletwa badala ya Xavi Simons.
Gamu ya Bayern Jtano pia ilichangia sana akina Buonanotte kuianza jana
Tunacheza na bayern jumatano?? Kwani uefa imekwishaa anzaaa????
 
Hayaa mjaze hiyo fomu ya kuomba msamaha kwa madueke
View attachment 3472004
Unajua kwanini tulimuuza Madueke Kwanza? Madueke shida yake yote ni end product yake na inconsistency performance so mkuu tunamjua vizuri huyo jamaa hajawahi kuwa na shida kwenye speed au dribbling shida zake nimeshakuambia ndio maana unaona sisi hatumiki kumuuza zaidi ya kusema tumetua mzigo ni suala la muda mtaanza kumtukana
 
Kwani Gittens kafanyaje mkuu ..mbona anakipiga fresh tuu
Umeona lakini mtandaoni anavyoshambuliwa?
Mashabiki walikuwa na matarajio nae makubwa kuwa atakuwa ni direct improvement ya Madueke
Sasa situation hii haimpatii muda wa kuadapt kwenye ligi haswa muda ambo timu inakosa matokeo
Wirtz anapitia wakati mgumu ila kizuri ni kwamba timu yake inapata matokeo
 
Gittens asipojichunga atatoka nje ya reli completely, kwanza yupo under pressure ya kudeliver pili ni kama week in week out kutakuwa na comparison na Madueke,
Sasa hiyo vita ya Arsenal na Chelsea itabebwa personal kati ya hao wawili

Hivyo yule shabiki yake humu nampa pole maana ana mlima mrefu wa kupanda

Madueke ni RW, Gittens ni LW—tusichanganye majukumu.​

Kama ni kulinganisha, basi tuwe sahihi: Madueke anapaswa kupimwa dhidi ya Estevão Willian na Pedro Neto, si Gittens. Na kwa maoni yangu, Estevão Willian ni upgrade ya kweli—tena akiwa na miaka 18 tu. Ana ceiling ya ajabu, ana confidence ya winga wa Brazil, na anaweza kugeuza mechi kwa mguu mmoja tu.

Pedro Neto? Huyu jamaa ni mzigo wa kazi. Ana work rate ya juu, kasi ya kuvunja safu, crossing nzuri, anakaba bila mpira, na bado ana threat ya moja kwa moja. Madueke ana flashes, lakini Neto ana consistency.

Ulinganisho wa Haraka kwenye jedwali​

KipengeleNoni MaduekeEstevão WillianPedro Neto
Umri231825
Kasi & DribblingHigh (flashes)Very High (natural)High (direct)
Crossing & Final BallInconsistentImprovingReliable
Work RateMediumHighVery High
Defensive EffortLowMediumHigh
PotentialUncertainSky-highPeaking

Uamuzi wa kumuuza Madueke? Sahihi kabisa.

Ulikuwa ni uamuzi wa kisiasa na kimkakati. Madueke alionekana kama jackpot ile mechi dhidi ya Wolves, lakini kwa macho ya kiufundi—ilikuwa ni garasha ya muda mfupi. Uongozi uliona mbali: kuondoa Madueke ni kutoa nafasi kwa Estevão, Neto, na Quenda mwakani. Hii ni blueprint ya winga wa kisasa—wenye kasi, akili, na mchango wa pande zote za uwanja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom