Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Goli la Fulham lililokataliwa na hili ni the same script, kucheza high line na beki mzito nani alaumiwe kocha au mchezaji?
 
Goli la Fulham lililokataliwa na hili ni the same script, kucheza high line na beki mzito nani alaumiwe kocha au mchezaji?
Hili goli hakuna faulu yeyote iliyochezwa. Ile ya Fulham, Chalobah alisiginiwa chini msilete ushamba hapa
 
Kawaida Chelsea wachezaji wakitoka International brek wanakuwa na hangup kubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom