Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi yangu ya kwanza kuiangalia nikiwa na akili timamu kuhusu mpira.

Sikuwa shabiki wa timu yeyote kabla, ila kwenye hii mechi nilitamani sana Chelsea ashinde, sikuwa na sababu ya msingi, labla kwa sababu ilikuwa na blacks kadhaa 😂

Chelsea alivyoshinda, nadhani rasmi nikaanza kujitambulisha kama shabiki wa Chelsea.

2012 - 2025 🔥

View attachment 3473938
Umri wako utakuwa mdogo
 
Kazi imeanza huko 😂

Screenshot_20250917-190300.jpg
 
Lineup ya FIFA CWC hii hapa, anakosekana Colwill tu

UCL Group Stage
Bayern Munich vs Chelsea

Line up 3-2-4-1

-----Joao Pedro-----

Neto --Enzo--Palmer -- Gusto

----Caicedo---James----

Cucurella ---Tosin--Chalobah

--Sanchez---

Subs
1. Jorgensen
2. Curd
3. Fofana
4. Acheampong
5. Hato
6. Santos
7. Facundo
8. George
9. Gittens
10. Estevao
11. Garnacho
12. Guiu
 
Lineup ya FIFA CWC hii hapa, anakosekana Colwill tu

UCL Group Stage
Bayern Munich vs Chelsea

Line up 3-2-4-1

-----Joao Pedro-----

Neto --Enzo--Palmer -- Gusto

----Caicedo---James----

Cucurella ---Tosin--Chalobah

--Sanchez---

Subs
1. Jorgensen
2. Curd
3. Fofana
4. Acheampong
5. Hato
6. Santos
7. Facundo
8. George
9. Gittens
10. Estevao
11. Garnacho
12. Guiu
Huyu Mgosi ashauza mechi mpuuzi huyu, Gusto wa nini?!!
 
Huyu Mgosi ashauza mechi mpuuzi huyu, Gusto wa nini?!!
kuna uwezekano ikawa hivi
Line up 3-2- 4-1

-----Joao Pedro------

Neto ----Enzo---- Palmer

---Caicedo-----James

Cucurella ---Tosin--Chalobah--Gusto

--------Sanchez--------
 
Huwa najiulizaga kwanini Enzo Maresca game kubwa huwa very serious kuliko hizi game za team za kawaida akicheza na team kubwa midfielder wa Kati anaweka wa kazi tofauti na hizi mechi zingine
 
Angeweza kuanza na full mkoko mapema. Piga mbili then second half anza kufanya sub kidogo kidogo wakati huo ushamsoma mpinzani wako.

Alichofanya ni kubet.. yaani akili yake yote anawaza game ya jumatano.

Shinda hii match nyepesi. Match ijayo jumatano match ngumu hata ukipoteza hutolaumiwa sana. Hii game kupoteza point tatu ndio inauma sana. Hasa kwenye swala la mbio za ubingwa. Team za madaraja ya kati na chini ndio za kuhakikisha unachukua point zote tatu bado mapema.

Haya mfano kapoteza hii.. na jumatano unapigwa unakuwa umefanya nini?
Haya sasa.. tusubiri labda tunaweza kutoboa..
 
Huwa najiulizaga kwanini Enzo Maresca game kubwa huwa very serious kuliko hizi game za team za kawaida akicheza na team kubwa midfielder wa Kati anaweka wa kazi tofauti na hizi mechi zingine
ndo gemu zinazompa misifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom