Safari ni ndefu sana ndugu yangu wacha mawenge ya ushabiki.Mambo Huwa yanaonekana mapema sana ndugu yangu....wacha tuupe muda nafasi
Kwa maoni yako haya Bornemouth atacheza UCL msimu ujao na Man City hatakuwepo kwenye mashindano yeyote ya Ulaya. Ungebaki na haya maoni yako geto ingekuwa bora zaidiMambo Huwa yanaonekana mapema sana ndugu yangu....wacha tuupe muda nafasi
Hahahahaha acha kututisha broooo
Kwann sasa broo unanifanyia hivi na mimi ninauliza maswali ya msingi 😀😀Inaanza Mwakani
Kwani nyie arse8 muna mpango gani msimu huu??Mambo Huwa yanaonekana mapema sana ndugu yangu....wacha tuupe muda nafasi
Kuwatungua nyny kama kawaida yetu majirani🤠🤠Kwani nyie arse8 muna mpango gani msimu huu??
Ligi bado ngumu sana kwa mashetani wekundu
Draw tu ndo mmetengeneza hadi memes 😂 kweli Chelsea n timu kubwa mno
Ulichochangia ni tofauti kabisa na comment uliyo-quote. Najitahidi kukuelewaKwako kuko sawa na hilo lundo la matakataka
Hivi yule striker tuliomsajili inamaana hakuanzaSasa hivi Mbwana Samata anacheza dhidi ya Strassbourg
Kumbe kapmteni wetu amehamia Ufaransa
View attachment 3472062
Shida yako unajitoa akili ndio maana na Mimi naenda na mdundo wako ukiwa serious ndipo utapata majibu seriousKwann sasa broo unanifanyia hivi na mimi ninauliza maswali ya msingi 😀😀
Shida yako unajitoa akili ndio maana na Mimi naenda na mdundo wako ukiwa serious ndipo utapata majibu serious