Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ili Nicolas Jackson asajiliwe moja kwa moja na Bayern Munich, lazima aanze mechi 40 kabla ya msimu kumalizika.
Uli Hoeneß—mjumbe wa bodi, rais, na mwenyekiti wa bodi ya usimamizi—alisema jana kuwa uwezekano wa mkopo huu kugeuka uhamisho wa kudumu ni mgumu kutokea.

Hoeneß pia alidai kuwa mawakala wa Jackson walilipa €3 milioni ili kufanikisha mkopo huo.

Maoni yangu:
Hizi mbwembwe za Jackson na agent wake kukimbilia Bayern na kuiacha Chelsea—ambapo alikuwa na nafasi ya kuanza mechi nyingi—ni za kushangaza. Kwa hali ilivyo, sidhani kama ataweza kuanza hata mechi 20 kule Bayern, sembuse 40. Atarudi Chelsea tarehe 30 Juni 2026, na kambi aliyoinyea ataikuta inanuka vile vile. Marecsa? Sidhani kama atamkubali tena baada ya zengwe alilolifanya.

Atakuwa kama Ben Chilwell au Raheem Sterling—mchezaji asiyehitajika, akisubiri timu ya kumnunua.
Atakuwa pia kama Kepa aliyepelekwa Real MAdrid kwa mkopo akaanza kuisema Chelsea vibaya na kukandia huku kumbe ni mkopo tu. Alipomaliza mkopo wake Real MAdrid alirudi Chelsea huyo kapigwa mkopo mkopo hadi sasa yuko anapumulia benchi la Arsenal.

Kama Jackson hatapata dakika za kutosha kule Bayern, thamani yake sokoni itaporomoka vibaya. Hata kurudisha
€37 tulizotumia itakuwa ngumu. Tayari €16 za mkopo tunazo bado mil €31

Kwa kifupi: Mkopo huu ni miongoni mwa mikopo ya kipumbavu kuwahi kutokea Chelsea. Na kwa mchezaji na agent kama Diomansy Kamara, ni fedheha ya kiwango cha juu.
View attachment 3467742
Waafrica tunashida sana kifikra
 
Hii ishu imekuuma Sana ww jamaa 😂
 
Uchnagiaji wako huwa wa kihuni sana na kama vile husomi hata kilichoandikwa
Haina haja ya kutumia akili kuelewa mood uliyonayo unapoleta habari hizi za Jackson, hata mtoto mdogo atakuelewa.

Ww sema binafsi tuu umechukizwa na Jackson kukaza kwenda Munich Na sio kuleta ngonjera zako
 
Mtoto mdogo ananielewa kuliko wewe kwa sababu unaelewa the opposite
 
Kwa kweli scout ya Chelsea inajua kupoint wachezaji wazuri Kuna huyu dogo imemsajili anaitwa Dastan satpaev ni striker atajiunga na Chelsea 2026, huyu dogo ni mzuri sana nimemcheki kwenye hizi game za kimataifa anajua kutumia miguu yote miwili, Kasi, kujiposition, dribbling, pressing, kushoot long distance lakini pia anajicho la goals Kama Chelsea itampa nafasi atakuwa bonge la mchezaji msimu ujao dogo atakuwa ana miaka 18 namuona kabisa ni English premier league material ana vitu vyote vinavyohitajika kwenye EPL
 
Nilishamripoti sana huyu dogo hapa kama mara mbili au tatu, Ana mentality ya kiutuuzima na ya kiushindi. Bahati mbaya nahisi atapelekwa Strasbourg kwa sababu Chelsea wana mpango wa kumsajili Emenauel Emegha wa Strasbourg msimu ujao.
Huyu dogo atacheza kwen ye UEFA kwa sababu timu yake ya Kirat imefunzu kwenye playoff ya kucheza kwenye makundi. Kwa hiyo tutaendlea kumuona sana huyo Dastan Satpaev
 
Nilichelewa kumjua mpaka kwenye hizi kimataifa ndio nimekuja kumuona
 
Taarifa za kutoka kwenye website ya Chelsea zinathibitisha kuwa Chelsea wamefikia makubaliano ya awali na Emanuel Emegha, mshambuliaji wa Strasbourg, ambaye anatarajiwa kujiunga rasmi Julai 2026.

Msimu wa 2026, Chelsea itakuwa na safu ya washambuliaji chipukizi kama ifuatavyo:
  • Marc Guiu – Miaka 20
  • Liam Delap – Miaka 23
  • Dastan Satpaev – Miaka 18
  • Emanuel Emegha – Miaka 23
Wakati huo huo, klabu ina mpango wa kumuuza Nicolas Jackson, bila kujali matokeo ya mkopo wake kwa Bayern Munich msimu ujao.

Usajili wa Emegha unaangazia kwa uwazi falsafa ya uendeshaji wa wamiliki wapya wa Chelsea:
Wachezaji hujazwa kwa nafasi moja, halafu kwa kasi ya kibiashara, wale wasioendana na kocha au mfumo huu mpya huuuzwa kwa faida.
Hii tayari imemkumba Noni Madueke, na sasa macho yote yako kwa Jackson—na kesho inaweza kumkumba yeyote.

Karibu Stamford Bridge, Emanuel Emegha.
Biashara ya vipaji inaendelea.
@ChelseaFC
1757706750695.png
 
Takataka nyingine hii

View attachment 3470607
 
Takataka nyingine hii
Ebu tuwekee timu nzima ya Chelsea wachezaji wawili kila nafasi hata kama mchezaji hayupo Chelsea kwa sasa na sisi tuwashauri wamiliki wawaondoe hayo matakataka na kuunda timu inayotisha Dunia nzima

Kipa no 1 na no 2
Mabeki
Viungo
washambuliaji kwa mtindo huo tu maana sasa tumechoka na kelele za matakataka hayoo!
 
Brentford vs Chelsea

Line up 4-2-3-1

-----Joao Pedro--

Gittens --Buonanotte -- Neto

--Enzo -----Caicedo--

Hato ---Tosin---Chalobah ---Fofana

--Sanchez---

Subs
1. Jorgensen
2. Gusto
3. James
4. Acheampong
5. Cucurella
6. Santos
7. Palmer
8. George
9. Garnacho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom