Tulipoanza usajili mashabiki wengi wa Chelsea walifurahia na hata wengine wakaanza kupandisha hisia kali kuwa dirisha limeenda vizuri hata tusiposajili tena
Dirisha lilipofunguliwa mara ya pili baadhi ya mashabiki walitamani majina haya... 😔
Lakini bahati mbaya, wengine walitua kwa mahasimu.
Hapa ndipo dirisha la usajili lilianza kuonekana bovu:
- Xavi Simons – Spurs walichukua
- Victor Osimhen – Amesajiliwa na Galatasaray
- Alexander Isak – Amesajiliwa na lIverpool
- Viktor Gyökeres – Amesajiliwana Arsenal
- Fermín López – Barca walikataa kuachia
- Alessandro Bastoni – Uongozi hawakumfukuzia
- Marc Guéhi – Aliipendelea Liverpool lakini kabakia Crystal Palace
- Piero Hincapié – Arsenal walimbeba
- Mike Maignan – Milan walimfunga kwa chuma
- Gianluigi Donnarumma – Amesajiliwa na Man City
- Hugo Ekitike – Amesajiliwa na lIverpool
Dirisha lilianza kama ndoto kubwa ya matumaini, likageuka kuwa kaburi la kuzikia hayo matumaini. 😩💙