Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nani wa kutoa million 80 kwa hilo takataka. Huoni amekosa timu mpaka ameamua kutolewa kwa mkopo.
Katika misimu yake miwili Chelsea ana G/A ya 42
Kwenye career yake yote na kule Laliga ana G/A ya 78 na bado unamuita takataka
Pamoja na madhaifu yake SD wamemuwekea ada ya mil 80 ni ishara kuwa sio takataka. Wale ni wataalamu, wamesomea, wana uzoefu, wewe unawaita wote takataka?
 
BREAKING NEWS:
Chelsea wanatafakari kumsajili styriker kabla ya dirisha kufungwa. Chelsea hawaruhusu Nicolas Jackson kuondoka kwa mkopo, lakini uhamisho wa kudumu unaweza kutokea. Ukosefu wa wachezaji wa kuchukua kwa mkopo umefanya klabu kuangalia uhamisho wa kudumu — mawasiliano yamefanyika kwa Conrad Harder wa Sporting CP na wengine.
@TheAthleticFC

1756625945015.png
 
Sioni mantiki ya kumrudisha mchezaji ambaye hana nia ya kuchezea Chelsea. Timu inaweza kushinda ligi bila Nicolas Jackson—kama Man City walivyofanya. Huu ni uamuzi dhaifu kutoka kwa uongozi wa Chelsea na kocha mkuu. Maresca anatakiwa kusema wazi: Jackson hahitajiki klabuni. 🔵⚽View attachment 3459312
Uongozi hauna kosa kwenye hili kumbuka hawakutegemea Liam Delap angekaa nje muda mrefu alafu ukizingatia sokoni huwezi kumpata striker mzuri kwa muda huu mdogo uliobaki ndio maana wakaja na maamuzi hayo, kumbuka hata huyo Joao Pedro anaweza kuumia vile vile na pia hatuwezi kumchezesha mechi zote ya michuano yote tunayoshiriki ni risk kubwa na ukizingatia malengo ya msimu huu ni makubwa compare na msimu uliopita, kwahiyo Viongozi wameona mbali naelewa Jackson ana hasira kiasi fulani lakini ndio mazingira yamelazimisha yawe hivyo na pia Chelsea hawajamtreat Kama vile walichofanya kwa chalobah.Shida kuu ya Jackson ni kupata nafasi pindi akirudi na akawa anacheza automatically kinyongo kinaondoka
 
Tatizo sio kuwa kosa au sio kosa. Uongozi unao haki kabisa kisheria kumrudisha kwa sababu hawakusaini doccuments bado.
Shida ni kwamba baada ya Jackson na kambi yake kukataa yeye kurudi, walitakiwa waachane naye na nadhani ndivyo wanavyofanya kwa sababu atakayerudi sie yule Nicolas Jackson wa mwili, nafsi na roho. Mwili tu ndio utakaorudi kisheria ila nasfi yake na roho yake itabaki ujerumani
 
Chelsea wako kwenye mazungumzo na Sunderland ili kuomba kumrudisha Marc Guiu kikosini kwa kukatisha mkopo wake. Kwa vile hakukuwa na kipengele cha kukatisha mkopo katikati ya msimu nje na dirish la usajili, hii sasa itabidi tu kuwa ni maombi maalum, Sunderland wakikubali Marc Guiu atarudi. Hii itamake sense zaidi
 
Bayern Munich wanataka kumsajili Ademola Lookman, wakifanikiwa no way Nicolas Jackson anarudi. Atakuwa ameharibu pande zote mbili. Akija PL2 itamhusu pumbaf yake
 
Huna lolote takataka wewe, kata hizo rasta. Hizo rasta ndio zinakufanya uwehuke akili.
Cheki hii takataka ..wewe kwanza ni mamlukii hapa rasta haikatwi huu ni urithi wa kizazi na kizazi ..wewe rudi zako arse8 kitambo tunakujua wewe ni mamluki.. 😂😂😂😂

Kwanza tunacheza lini wewe takataka 😂😂😂😂

Sisi ni Chelsea bwanaaa alaaah
 
Arsenal wakioneka darajani wazamisheni kwenye mto kina kirefu, wametumia mahela yote hayo kuja kuteletea utumbo uwanjani
 
Dili la Jackson kwenda Bayern Munich kwa mkopo sasa ni 100% off
Bodi ya Chelsea imeamua hivyo na Bayern Munich wamejitoa
Sasa ile ndege ya Jackson itabidi irudi kinyume nyume hadi London
SIKUPENDA IWE HIVI
Ila hawa Bayern Munich hawakumpenda JAckson. Wao walitaka kumtumia tu kama dodoki au puto, wakishapita kipindi cha mpito na kumpata striker wao. Huyu wangemuacha solemba
1756672916498.png
 
🚨 Marc Guiu anarudi Chelsea!
Chelsea na Sunderland wamekubaliana—Guiu anarudi tu bila longolongo.

Hii inatoa picha mbaya kwa Nicolas Jackson...
Anaweza kuuzwa, kupelekwa kwa mkopo, au kushushwa hadi Development Team.

1756674373077.png
 
Mbona kama uongozi umepanic wamemuita Guiu na Jackson kwa wakati 1 inamaana Jackson atakaa benchi na msimu ujao kama ni kumuuza haitazidi £40m kwa hii sintofahamu
 
Bodi ya Chelsea muda mwingine wanafanya maamuzi kama hawana akili timamu. Katika hili sakata Niko upande wa Jackson.
 
Bodi ya Chelsea muda mwingine wanafanya maamuzi kama hawana akili timamu. Katika hili sakata Niko upande wa Jackson.
Kuwa nae tu huyo kijana wa hovyo hamna shida, ale bench mpk price tag ibaki 0 manina. Analetaje kiburi kwa mtu aliemuajiri.
 
Mbona kama uongozi umepanic wamemuita Guiu na Jackson kwa wakati 1 inamaana Jackson atakaa benchi na msimu ujao kama ni kumuuza haitazidi £40m kwa hii sintofahamu
Hata hawajapanic, unafikiri hawajui wamewaita wote wawili kwa wakat mmoja?! Jackson ni mpuuzi wampeleke akacheze na Under18 huko.
 
Hata hawajapanic, unafikiri hawajui wamewaita wote wawili kwa wakat mmoja?! Jackson ni mpuuzi wampeleke akacheze na Under18 huko.
Kisirani na biashara ni vitu viwili tofauti wangechukua hiyo €15mil na mshahara covered juu msimu ujao hata ukiuza £40m bado ni faida
 
Mbona kama uongozi umepanic wamemuita Guiu na Jackson kwa wakati 1 inamaana Jackson atakaa benchi na msimu ujao kama ni kumuuza haitazidi £40m kwa hii sintofahamu
Bodi wako sahihi na pia hawako sahihi
Wako sahihi kwa sababu Jackson ni mwajiri na Chelsea imepata shida
Hawako sahihi kwa sababu baada ya ile reaction, Chelsea wangeachanan naye na kumuita Guiu tu basi
 
Bodi ya Chelsea iko sahihi hadi sasa kwa sababu baada ya kumuita Marc Guiu sasa wameamua kuendelea na majadiliano na Bayern Munich ili Jackson aende mkopo. Natarajia mkopo utakuwa na kipengele cha lazima kumnunua mwakani baada ya mkopo wake kuisha muda wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom