Maelezo zaidi🚨🔴⚪️ BREAKING: HERE WE GO
Bayern Munich na Chelsea watia saini makubaliano mapya ya mkataba wa Nicolas Jackson, umekamilika!
Kipengee cha Mkopo + cha kununua chenye kipengele kipya cha wajibu wa kununua kilichojumuishwa katika mkataba wa 2026, kama Chelsea walivyotaka.
Jackson tayari amekubali mkataba wa miaka 5 Bayern. Ada ya mkopo ya €16.5m.
View attachment 3461377
Kwa Isak sioNa George akiuzwa Fulham; Chelsea wakapindue meza Newcastle
Kwamba isak aje Chelsea mnaotaKwa Isak sio
Hata kama wamemuajiri ndo wakae wanamhangaisha muda mwingine muajiri naye anaweza tu kuwa mpumbavu tuKuwa nae tu huyo kijana wa hovyo hamna shida, ale bench mpk price tag ibaki 0 manina. Analetaje kiburi kwa mtu aliemuajiri.
Delap Nov atakuwa mzima, anakuwa nje miezi miwili tunadhan uongoz umeenda kuharibu ili dirisha mwishon kabisa, now tunamtegeme Joao Pedro tu akiumia Pedro kwisha habar yetu
Kipi kilichoharibika? Timu gani ina striker 3 wenye furaha kwa wakati 1nadhan uongoz umeenda kuharibu ili dirisha mwishon kabisa, now tunamtegeme Joao Pedro tu akiumia Pedro kwisha habar yetu
Guiu amerudishwanadhan uongoz umeenda kuharibu ili dirisha mwishon kabisa, now tunamtegeme Joao Pedro tu akiumia Pedro kwisha habar yetu
Hakuna kinachoshindikanaKwamba isak aje Chelsea mnaota
Watakuwepo watu wa kucover tu hata km akiumia...Sasa man city ambaye ana one established striker halaand naye asemaje? Au arsenal ambaye gyokeres ndo huyo na havertz kaumia n hawatafuti hata striker....nadhan uongoz umeenda kuharibu ili dirisha mwishon kabisa, now tunamtegeme Joao Pedro tu akiumia Pedro kwisha habar yetu
Napenda unavyoleta habari humu, ila kwenye hii ishu ya Jackson em acha kuandika kifala.Dili la Jackson kwenda Bayern Munich kwa mkopo sasa ni 100% off
Bodi ya Chelsea imeamua hivyo na Bayern Munich wamejitoa
Sasa ile ndege ya Jackson itabidi irudi kinyume nyume hadi London
SIKUPENDA IWE HIVI
Ila hawa Bayern Munich hawakumpenda JAckson. Wao walitaka kumtumia tu kama dodoki au puto, wakishapita kipindi cha mpito na kumpata striker wao. Huyu wangemuacha solemba
View attachment 3460673
Ufala uko wapi au umeshaweka machicha huko?Napenda unavyoleta habari humu, ila kwenye hii ishu ya Jackson em acha kuandika kifala.
Hivi nyie mna tofauti gani na Blackburn Rovers au Lecester City>