Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwanablues mwenzetu huwa unajitoa ufahamu au unamaanisha kweli!!?
Mkuu nakuwaga nyuma nyuma ila ngoja nitaanza kufuatilia mechi, unajua mimi nachekigi laivu skoo tuuu nikikuta tumeshinda basic hapo nazama you tube chap kucheki magolii halafu sasa baadae naanza kutambaa hahaha ...Sema nini nalipenda sana hili Chamaa oyoooooo
 
Je Chelsea watakuja kujuta kuuza dgo?
Chelsea haijamuuza Rio bali Rio aliichagua Liverpool kuanza safari yake ya Kandanda. Chelsea ndio walikuwa wanaandaa kumpa mkataba wake wa kwanza (Professional contract akakataa). Liverpool wataifidia Chelsea kiasi kama walivyoifidia Fulham walipomchukua Harvey Elliott. Kwa sasa kesi iko mahakamani kuilazimisha Liverpool waifidie Chelsea kwa gharama za kumkuza nk. Gharama inaweza kuwa kati ya pauni mil 2 hadi 4
 
Kwa hiyo ameshakua supastaa kwa kufunga tugoli watu wapo pungufu!.
 
Mkuu nakuwaga nyuma nyuma ila ngoja nitaanza kufuatilia mechi, unajua mimi nachekigi laivu skoo tuuu nikikuta tumeshinda basic hapo nazama you tube chap kucheki magolii halafu sasa baadae naanza kutambaa hahaha ...Sema nini nalipenda sana hili Chamaa oyoooooo
Yeah fatilia bhn ujue garu ishawaka utaachwa shauri yako
 
Kairat wamefanya kweli! Baada ya ushindi kupitia mikwaju ya penalti dhidi ya Celtic, wamefuzu katika hatua ya makundi ya UEFA Champions League.⚽️
Dastan Satpaev mwenye umri wa miaka 16 ambaye ni striker wa Chelsea mtarajiwa msimu wa 2026/27, aliyefungiwa kucheza mechi hii ya leo kwa sababu ya kadi ya njano aliyopewa kwenye mechi ya kwanza, sasa atatembea kibabe na timu kubwa kubwa kwenye UEFA- anaweza kukabiliana na Chelsea. Ndoto yake ndio kwanza inaanza kung'ara.
Karibu Dastan Satpaev kwenye UEFA Champion League upate uzoefu kabla ya kuhamia darajani mwakani.
 
Nicolas Jackson angekosa hilo goli,
Huyo Ngum oha ni mchezaji mzuri, haitaji hata kubishania hapo sio type ya akina Jackson ambaye anawapasua mashabiki katikati
Huyo mchezaji hatunae Tena sioni haja yakumzungumzia mwisho wa siku haibadilishi chochote. Tuna madogo pia wapo wanafanya vizuri Kama yule Moreno n.k
 
Mada yake itakufa natural death tu but not guaranted. Huyo Rio Ngumoha mada yake itaendelea kujitokeza tu mara kwa mara kwa sababu amekuwa na connection na Chelsea. Hapa tunawazungumzia wachezaji hata ambao hawakuwahi kuwa Chelsea sembuse huyo dogo. Mfano watu wanakuja kuleta false info zake lazima ivutie mjadala
 
Huna lolote takataka wewe, kata hizo rasta. Hizo rasta ndio zinakufanya uwehuke akili.
Mkuu nakuwaga nyuma nyuma ila ngoja nitaanza kufuatilia mechi, unajua mimi nachekigi laivu skoo tuuu nikikuta tumeshinda basic hapo nazama you tube chap kucheki magolii halafu sasa baadae naanza kutambaa hahaha ...Sema nini nalipenda sana hili Chamaa oyoooooo
 
Mada yake itakufa natural death tu but not guaranted. Huyo Rio Ngumoha mada yake itaendelea kujitokeza tu mara kwa mara kwa sababu amekuwa na connection na Chelsea. Hapa tunawazungumzia wachezaji hata ambao hawakuwahi kuwa Chelsea sembuse huyo dogo. Mfano watu wanakuja kuleta false info zake lazima ivutie mjadala
Kwa namna navyoona usajili unavyoenda tunaweza tusiwapate Garnacho na Xavi Simons
 
YES, nadhani usajili wa Fermin Lopez kama utafanyika utakuwa wa kufidia usajili uliofeli wa Julio Enciso, haya ni mawazo yangu. Kama itakuwa hivyo basi atapelekwa Strasbourg msimu mmoja halafu baadaye atarudishwa Chelsea ila kama uamuzi ni wa kumsajili Chelsea moja kwa moja basi usajili wa Simon unaweza ukawa mashakani

Mimi namuona Xavi Simons kama no. 10 halisi wa kushirikiana na Cole Palmer kwa sababu Simons ni mbunifu, anaweza kucheza pasi za hatari kwenye nafasi finyu na kazi hiyo Lopez hawezi. Yeye ni ushambuliaji zaidi kama akina Joao Pedro
 
Ni Bora tumsajili Xavi Simons zaidi Kama tunataka kupata signing moja sio tu atasaidiana na Palmer Bali pia anaweza kucheza left wing ambapo hatuna option.kwa maana hiyo tutakuwa tumepiga ndege wa wawili kwa jiwe moja
 
Tottenham wanakuja kwa moto kwa Xavi Simons, na wana pesa za kulipa €70m, ambayo ndiyo Leipzig wanataka. Mkurugenzi Mtendaji wa RB Leipzig na Levy wanajuana kila mmoja vizuri. Xavi ingawa lazima ashawishike; na pia ana mshahara wa €11m, haijulikani ikiwa Spurs wanaweza kupata hii.
Chelsea wao wamekwama na wachezaji wanaotakiwa kuondoka kama Nkunku na Jackson. Ikiwa hawataondoka basi dili la Simons halitawezekana na Simons tutamkosa kabisa.
1756312383365.png
 
Ni Bora tumsajili Xavi Simons zaidi Kama tunataka kupata signing moja sio tu atasaidiana na Palmer Bali pia anaweza kucheza left wing ambapo hatuna option.kwa maana hiyo tutakuwa tumepiga ndege wa wawili kwa jiwe moja
kama ni Left Fermin Lopez ndio mzuri kwa sababu yeye ni threat kubwa kwenye ufungaji
 
🚨 BREAKING: Chelsea na Manchester United wako hatua ya mwisho kukubaliana kuhusu uhamisho wa Alejandro Garnacho kuelekea Stamford Bridge. Dili linaweza kugharimu hadi £40M, ikijumuisha add-ons. Garnacho amekataa ofa kutoka Saudi—anataka Chelsea tu. 🔵🔥
[@SamWallaceTel]

1756313449067.png
 
kama ni Left Fermin Lopez ndio mzuri kwa sababu yeye ni threat kubwa kwenye ufungaji
Lopez hatuwezi kumpata Barca ni wagumu sana wakufanya biashara kwa mchezaji ambaye wanamuhitaji. Sijui tunafeli vipi kwa mchezaji Kama Xavi wakati yeye ndio anatuhitaji sana
 
Barca wao wanacho angalia ni hela tu, mkifika bei mchezaji anauzwa. Inshu inabaki kwa mchezaji, na Lopez amekataa kuondoka Barca. Kwahiyo huo usajili haupo tena.

Suala la Xavi kuja Chelsea ni mpaka kati ya Jackson na Nkunku watoke bila hivyo sahau kuhusu Simons kuja Chelsea.

Usajili ambao upo kwa asilimia kubwa kufanyika ni wa Garnacho.
Lopez hatuwezi kumpata Barca ni wagumu sana wakufanya biashara kwa mchezaji ambaye wanamuhitaji. Sijui tunafeli vipi kwa mchezaji Kama Xavi wakati yeye ndio anatuhitaji sana
 
Lopez hatuwezi kumpata Barca ni wagumu sana wakufanya biashara kwa mchezaji ambaye wanamuhitaji. Sijui tunafeli vipi kwa mchezaji Kama Xavi wakati yeye ndio anatuhitaji sana
Barca wamesema Lopez akitaka kuhamia Chelsea hawatamzuia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom